Usahili utumishi

Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,502
341
Jaman tulioomba zile nafas za kazi za zaid ya 2000, utumishi, tutegemee usahili lini?
 
Siwezi kukwambia lini ila kaa chonjo maana kwa mfuatano wa matangazo yao nadhani wakimaliza mchakato wa hawa walioitwa juzi wataanza kuitwa zile nafasi 2285
 
Mpaka dakika hii umechemka usaili.Hapo kwenye red.

hapo sijachemsha ndugu ts like email or friendly letter si lazima uandike kila k2 e.g have_ av, kitu-k2, afu-halafu, e.t.c so nilikuwa nachukulia pouwah informal..ways asante!
 
hawa watu wa utumishi naona wameelemewa na majukumu waundiwe tume ,haiwezekani mtu aombe kazi mwezi wa sita asibiri usaili,tena sio kuitwa kazini mwisho wa mwaka aah
lakini muwe na subira.
 
hawa watu wa utumishi naona wameelemewa na majukumu waundiwe tume ,haiwezekani mtu aombe kazi mwezi wa sita asibiri usaili,tena sio kuitwa kazini mwisho wa mwaka aah
lakini muwe na subira.

Labda wataita watu kwenda kuripoti vituo vyao vya kazi, usaili ni huu uvumilivu.
 
kuita wataita tena kabla ya okitoba inavyosemekana,lakini cha msingi ni uvumilivu na kujishughulisha na shughuli nyingine(kama ipo)
 
Mwenyezi Mungu atujalie kwenye shortlist ya 'call for interview'wote tulioomba zile nafasi 2000 tuwemo,maana PRESHA inaweza kutumaliza bure.
 
tuwe wapole ndugu zangu mvumilivu hula mbivu lets keep in touch guys,luv u all
 
Back
Top Bottom