Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
Wana jamii nasikia kumeanzishwa usafiri wa ndege ndogo toka dar es salaam hadi dodoma na kurudi dar es salaam.sasa kwa mwenye data zaidi naomba anifahamishe ni ndege za kamapuni gani zinazofanya safari hizo,ratiba zake kwa wiki na ikiwezekana nauli yake kwani tumechoka kupanda haya 'mashangingi' kila safari ya kwenda mjengoni na tukipanda mabasi presha juu kuhusu uharaka wa madereva.