jashmoe32 JF-Expert Member Dec 4, 2012 1,087 423 Dec 17, 2023 #1 Habari wana Jf, Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga??? If yes then gharama ya usafiri ikoje? Tusaidiane ili tuwahi makazini
Habari wana Jf, Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga??? If yes then gharama ya usafiri ikoje? Tusaidiane ili tuwahi makazini
jashmoe32 JF-Expert Member Dec 4, 2012 1,087 423 Dec 17, 2023 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Umepata ajira mpya? Click to expand... Hapana ila nimehamishiwa Dar
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,864 41,228 Dec 17, 2023 #4 jashmoe32 said: Hapana ila nimehamishiwa Dar Click to expand... Kila la heri
Kalaga baho JF-Expert Member Sep 27, 2020 5,465 11,235 Dec 17, 2023 #6 jashmoe32 said: Hapana ila nimehamishiwa Dar Click to expand... Kaishi kinondoni mkuu