Usafiri UDA kati ya Mnazi Mmoja hadi Kivukoni

Mradi wa simon kisena, madabida, idd simba na ritz1. Ndo muuone uongozi wa nchi hii unavyobagua wananchi. Ingekuwa daladala la mlalahoi sumatra wangeishalikamata kwa kuvunja root ila kwa kuwa ni kampuni ya umma waliyojibinafshia na wakurugenzi wa sumatra kuteuliwa na wenyenchi basi hatuna la kuwafanya zaidi ya kuwaneemesha tu. Ipo siku yao nayo si mbali na hapa yaani 2015 tuwaamulie na kuwanyima kura japo wapo mbumbumbu watakaopewa ubwabwa ili kuwapa kura! Amkeni, vinginevyo mtaendelea kuumizwa na mizigo ya nauli!
 
Naiomba serikali itumie busara kwa kuwasadia watazania maskini wanaotumia usafiri wa kila siku ni vyombo hivi, Imefikia hatua inakera na kuudhi , Serikali haiwajali na imekaaa kimya kuhusu hili swala kuingia kingamboni kwa kutumia magari mawili badala la moja kutokea sehemu husika mwa mji, Serikali tunaomba isitopishe safari ya mnazi mmoja -Kivukoni kwani haina tija kwa wananchi, inafikia hatua wananchi wenye kipato kidogo kutembea kwa miguu kwenda posta na kingamboni hii sio utawala bola ni ufisadi mkubwa wa serikali kwa hili shirika. GHARAMA ZIMEPANDA AMBAZO HAZINA TIJA KWA WANANCHI
 
Tusioongelee tu dual a la bei ,tujiulize pia kwa nini Kigamboni ziruhusiwe uda tu ? Biashara ya ushindani inaondolewa kwa manufaa ya nani ? Ni vema daladala zote zilizokuwa zinafika Kigamboni zikarejeshwa. Kama haifai UDA pia wazuwiwe.
 
Kaka pole wewe nami tupo mtumbwi mmoja, kwa kifupi huo ni unyonyaji na unyanyasaji uliobarikiwa kwa nguvu zote na wachache wanaonufaika nao. Hlf ukiunganisha na waliopiga marufuku sisi waendesha pkpk tusije mjini yaani unatamani kumuambukiza mtu ebola!
 
Kaka pole wewe nami tupo mtumbwi mmoja, kwa kifupi huo ni unyonyaji na unyanyasaji uliobarikiwa kwa nguvu zote na wachache wanaonufaika nao. Hlf ukiunganisha na waliopiga marufuku sisi waendesha pkpk tusije mjini yaani unatamani kumuambukiza mtu ebola!

pole Sana Kijana Umeongea Kwa Uchungu Mnooooo.....!!
 
Kwa kweli hali ni mbaya mno. Viongozi wa serikali wanatakiwa kujua ya kuwa wanaongoza watu wa kipato cha chini mno. Kuzuia magari mengine yasifike kivikoni ni unyanyasaji na unyonyaji mkubwa mno.
 
Back
Top Bottom