muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,504
- 10,118
Mamraka husika ilitizame,ni tatizo...
Mamraka husika ilitizame,ni tatizo...
Ni mamlaka siyo mamraka.
kipindi chetu ilikuwa ukipata division three ni aibu. nyinyi watoto mtakuja kuliwa uroda hivihivi kwa kudeka.
katafute bwana mbele.
.
lKipind chenu kipi hicho wakat unaonekana kbsa DV5 ww thts y unaandika pumbaz
l
kipindi chetu hakukuwa na kilaza wa kuandika God With us bali God with us.
Kweli wew zimwamwa bor uulizie kwanza
kipindi chetu ilikuwa ukipata division three ni aibu. nyinyi watoto mtakuja kuliwa uroda hivihivi kwa kudeka.
Daah,..Mbele ya nini Kiongozi?katafute bwana mbele.
.
Acha kuwaonea watoto wewe.
Kapige umbea na shoga zako kwenye Jukwaa la Celebrities.
Kaka pole wewe nami tupo mtumbwi mmoja, kwa kifupi huo ni unyonyaji na unyanyasaji uliobarikiwa kwa nguvu zote na wachache wanaonufaika nao. Hlf ukiunganisha na waliopiga marufuku sisi waendesha pkpk tusije mjini yaani unatamani kumuambukiza mtu ebola!