Usafiri Kafiri!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
1302008.jpg

Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!
 
1302008.jpg

Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!

Kuna sehemu nyingine usafiri unakuwa wa shida sana jamani, kiasi kwamba hata mwenye gari anaona bora atoe msaada kwa njia hiyo na abiria pia anaridhia kwa sababu hakuna option nyingine.....
 
hahahaaaa inaelekea huko usafiri wa mwisho ni ng'ombe daaa sijui lini tutapiga hatua mbele?
 
Back
Top Bottom