US Election Coverage 2008

Umati wa watu uliokwenda kumsikiliza mzee wa Yes We Can!!
303141103.jpg

Wengine walikosa nafasi wakaishia kubaki nje
303141093.jpg

303141086.jpg

Mzee wa change akisalimiana na mashabiki
303141098.jpg

303141085.jpg

303141083.jpg

Huu ni ufisadi"Howard Dean said that if their was a tie after the remaining states primaries, he would sit the candidates down in April so that they could come to a deal. That is BS. No backroom deals."
 
icadon,
ati DNC wanaongea na states za MI na FL kufanya caucuses!!! hizi states zilifungiwa kwa kutofuata party rules, sasa nini tena?
rules zina change in the middle of the game, nakwambia mpaka dust liki-settle hapa in august dem party will never be the same!!.
Umeona wanavyotaka kuitumia vibaya issue ya NBC's David Shuster?? all they want is pples sympathy kwamba wanaonewa, sidhani kama watu wataendelea kuwa mabwege ku-fell kwenye vimitego vya kijinga kama hivi.!
 
Umati wa watu uliokwenda kumsikiliza mzee wa Yes We Can!!
303141103.jpg

Wengine walikosa nafasi wakaishia kubaki nje
303141093.jpg

303141086.jpg

Mzee wa change akisalimiana na mashabiki
303141098.jpg

303141085.jpg

303141083.jpg

..duh!jamaa noma yani. huyu atai-change america kama alivyosema.

..hao ma-yankee waliojaa si mchezo!halafu vijana wa kumwaga!
 
Dumb pussy ass crackers on CNN ( http://edition.cnn.com/POLITICS/ ) and similar major media corporations wanna make it appear like Hillary Clinton won big time against Obama on Super Tuesday. The truth of the matter is 4 days down the line and Obama is leading by 2 delegates.

Obama leads Clinton by only 2 delegates

By STEPHEN OHLEMACHER, Associated Press Writer
2 hours, 1 minute ago
WASHINGTON - Three days after the voting ended, the race for Democratic delegates in Super Tuesday's contests was still too close to call. With nearly 1,600 delegates from Tuesday contests awarded, Sen. Barack Obama led by two delegates Friday night, with 91 delegates still to be awarded. Obama won 796 delegates in Tuesday's contests, to 794 for Sen. Hillary Rodham Clinton, according to an analysis of voting results by The Associated Press.

In the Republican contest, Sen. John McCain had a commanding lead in the race for delegates.

Nearly a third of the outstanding delegates are from Colorado, a state where Obama won the popular vote. California, a state that Clinton carried, had 20 Democratic delegates still to be awarded. Neither state expected to have complete results before next week.

Obama won the popular vote in 13 states Tuesday, while Clinton won in eight states and American Samoa.

In the overall race for the nomination, Clinton has 1,055 delegates, including separately chosen party and elected officials known as superdelegates. Obama has 998.

A total of 2,025 delegates are need to secure the Democratic nomination.

Many delegates were outstanding because some states have been unable to provide all the votes in some congressional districts. The problems arose in states with counties that are split into multiple congressional districts.

The states have provided results in each county. But in some cases, they are still working to assign the votes in the appropriate congressional district.

Those votes are important because both parties award delegates based on statewide votes and on results in individual congressional districts. Democrats award them proportionally, meaning precise counts can be necessary, even when the vote is overwhelmingly in favor of one candidate.

In California, officials were still counting absentee ballots Friday. Officials had estimated that more than 1 million absentee ballots may have been submitted.

In Tuesday's Republican contests, McCain won 617 delegates to 205 for former Massachusetts Gov. Mitt Romney, who suspended his campaign on Thursday. Former Arkansas Gov. Mike Huckabee won 155 and Rep. Ron Paul won 10. There are still 36 Republican delegates to be awarded from Tuesday's contests.

In the overall race for the nomination, McCain leads with 719, to 198 for Huckabee and 14 for Paul. Romney's suspended campaign still has 298 delegates.

A total of 1,191 delegates are needed to secure the Republican nomination.

The AP tracks the delegate races by projecting the number of national convention delegates won by candidates in each presidential primary or caucus, based on state and national party rules, and by interviewing unpledged delegates to obtain their preferences.

In some states, like Iowa and Nevada, local precinct caucuses are the first stage in the allocation process. The AP uses preferences expressed in those caucuses to project the number of national convention delegates each candidate will have when they are chosen at county, congressional district or state conventions.

Email StoryIM StoryPrintable View
 
Jaluo azidi kumwumiza kichwa Bibi!
(hata asipopata nomination kwa kweli he gave her the run for the money - oops! Couldn't resist the pun baada ya kusoma eti Bibi aliishiwa pesa na alijikopesha)
Time.com wamefanya poll and summary yake ni kwamba :

Nadhani Bibi ameanza kuplay the victim eti hana hela, na kwamba ni mwanamke ndiyo maana she is loosing and she says 'It's our time'. Lakini that's true for all non-whites who vote for Obama and say "it's our time"
Anyway, MSNBC are in trouble for saying that the Clintons are pimping out Chelsea, but honestly - they said it! Bibi hana aibu anamtumia mtoto wake! Kwani Kerry si naye alikuwa ana watoto wakubwa, even McCain etc, lakini hawatumii watoto wao because it is disturbing! Bibi is desperate.
Wacha Jaluo aendeleze jeuri yake!

Sawa lakini wewe kama ni seasoned journalist una wajibu wa kuchagua maneno yako kwa umakini wa hali ya juu. Maneno "pimped out" yana connotation mbaya inayohusishwa na umalaya. David Shuster ni mwandishi wa habari mwenye uzoefu. Alichosema kwa kweli kilikuwa hakistahili. MSNBC wana upendeleo ambao sijawahi kuuona kiasi kwamba wanapoteza objectivity. Hakuna ubaya wowote ndugu na wanafamilia kumkampenia ndugu yao. Wakati watoto wa Bush na Kerry wanawakampenia baba zao mbona hatukusikia lugha kama hii ya David Shuster? Come on man...that was so low down...

Halafu ya kutumia hela zake....mbona hilo ni jambo la kawaida kabisa ktk siasa za Marekani. Mbona John Kerry ali-mortgage nyumba yake ku-finance kampeni yake? Mitt Romney mbona ametumia milioni 35 kutoka mfukoni mwake? Governor Corzine wa New Jersey mbona na yeye alitumia hela zake wake anagombea useneta? Au Michael Bloomberg...mbona na yeye alitumia hela zake mwenyewe? So what is the big deal with Hillary using her own money?
 
tatizo hizo 5mil zimepatikana "kilowassa" i.e. back door deals!! sasa swali, hizo pesa watazilipa vipi baada ya kuingia WH?? unafikiri kwanini watu wamepiga chini romney?? ni kwasababu kama hizo,huwezi kukopesha pesa kampeni yako, ati upate uraisi.......ni wazi kwamba utakuja kuwa fisadi!! huwezi ku-compare Bloomberg au Corzine na Clintons linapokuja suala la fweza!!. Clintons hawana 5mil za ku-burn like that! kwanza wamezipata wapi ghafla namna hii na watazilipa vipi??
 
Wewe umejuaje kama hawana hizo hela? Unazijua investments zao? Bill Clinton kila siku yuko huku na kule akitoa speech na mambo mengine. Hivi unadhani anafanya yote hayo kwa bure? Na sijasema kama kina Clinton wana fedha kama za Bloomberg na Romney...ishu hapa ilikuwa eti all of a sudden ni jambo la ajabu kwa mgombea kutumia hela zake ktk kampeni kitu ambacho si cha ajabu hata kidogo.
 
clinton analipwa hela ngapi per speech? mara ya mwisho lini katoa paid speech? kama walikuwa na pesa kihivyooo kwanini wasiji-finance wenyewe toka mwanzo? mie sijui assets zao, lakini wazijuazo wame-raise red flags, kwamba kuna walakini hapa!! intergrity,intergrity and intergrity kama mitt kafanya, haina maana ni sahihi. swali, baada ya kushinda uraisi mshiko huu wa 5mil ataurudisha vipi? au ndio itakuwa mwendo mdundo nakina the type of Jack Abramhoff!! Give me a break, and that's why we're standing for change.!
 
Dear moderators, I feel offended by this name
Avenue Mavuzi
Member Join Date: Sun Feb 2008
Posts: 12
Rep Power: 0

Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Credits: 1,163

Re: BARACK OBAMA thread

So please can the mmiliki wa jina defend why he/she chooses jina lililo jirani na utupu?? Then we must please pay the respect of our beautiful swahili and giving meaningful names and not viashiria-matusi.
just offended.

But the post he/she did is positive one but the poster name destroys the importance...
 
clinton analipwa hela ngapi per speech? mara ya mwisho lini katoa paid speech? kama walikuwa na pesa kihivyooo kwanini wasiji-finance wenyewe toka mwanzo? mie sijui assets zao, lakini wazijuazo wame-raise red flags, kwamba kuna walakini hapa!! intergrity,intergrity and intergrity kama mitt kafanya, haina maana ni sahihi. swali, baada ya kushinda uraisi mshiko huu wa 5mil ataurudisha vipi? au ndio itakuwa mwendo mdundo nakina the type of Jack Abramhoff!! Give me a break, and that's why we're standing for change.!

Umefuatilia ratiba na shughuli zake tokea ang'atuke ile 2001? Miaka mingapi imepita tokea aachie ngazi? Na kwani si kila mwaka hapa Marekani watu wana-file taxes? So kama unataka record za income zao kwa vile wao mishahara yao inalipwa na hela za walipa kodi nina uhakika utazipata tu. Jaribu ku-google uone wana-worth kiasi gani kabla hujaanza kurusha madongo bila kujua.

Yeah..you stand for change with Ted Kennedy (who has been in the senate since way back when) an John Kerry....that's real change!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I think change should start in MA with it's senior sanator. Kwanza alishagaua mtu huyo halafu kesi yake ikaisha kinyemelanyemela tu kwa vile yeye ni Kennedy (ESTABLISHMENT)
 
..jamani watu wa MSNBC wameharibu kazi. it is OK kuchukuliwa na wimbi la Obama, lakini tusipelekee kupoteza akili zetu mpaka kuanza kutukana wapinzani wake.

..hivi kuna shida gani ya kutafuta wakereketwa wa Obama wakawa commentators kwenye hizo networks? badala yake wamejaza Hillary hater. matokeo yake Obama akishinda, badala ya commentators kumsifia Obama, wanatumia muda mwingi kumkandia na kumkejeli Hillary.

..mimi nafikiri ule ushindi wa Hillary New Hampshire ulitokana na backlash ya wapiga kura dhidi ya vijembe na kejeli za waandishi wenye chuki na Hillary.

..hivi inawezekana vipi mtu aliyeandika biography inayomtukana Hillary na wazazi wake akapewa nafasi kuwa kuwa analyst wa hizi primaries. kwanini basi ili kuwe na balance wasitafute specialist wa mauchafu ya John Edwards,Obama,McCain etc etc?

Susuviri,

..Hii siyo mara ya kwanza Chelsea kumsaidia Mama yake kwenye kampeni. She is 27 yrs old woman after all and making more than 100k a year. sasa hili suala la "kutumiwa" na kuwa victim linatoka wapi?

..vilevile nakumbuka kuwaona watoto wa Obama kwenye luninga wakiwa kwenye mkutano wa kampeni. tena wao ni watoto wadogo under 14 yrs.

..John Edwards pia alikuwa na mabinti zake ktk kampeni. Mitt Romney amekusanya watoto, wakwe[daughter in law] na wajukuu. mbona hao MSNBC hawakulalamika?

..I want Obama to have a clean victory. siyo baadaye waanze kusema ooh bila Kennedy asingeshinda....OOOh media imemsaidia.

..Let Obama be himself, na siyo kumzonga na kujaribu kumfanya a new era Kennedy. Ni lazima mumuelewe huyu Mzee Kennedy. Yuko pale kuhakikisha Obama hamfuniki JFK.
 
graphic
 
Joka Kuu, Icadon, Susuviri na wengine, ni kweli siasa zetu za bongo ni za mwendawazimu, lakini at the end of the day Tanzania is the only place we proudly call HOME! twende wapi turudi wapi..Bongo ndo nyumbani kwa hiyo hatuna namna, the buck stops at our door.

Surely the next generation will exhume our corpses..to examine what was the problem with our brains!!

Tuendelee kukataa issue..ila I guess tutakatika sisi kabla ya issue kukatika.

Masanja,

bahati kubwa iliyofikia kwa Watanzania hata suala la Richmond na BOT kujulikana ni kutokana na kuishi nchi za nje na kujifunza kutoka kwa wenzetu. masuala ya uchunguzi na jinsi wananchi wanavyochangia kuondoa uozo kunatokana na foreign exposure. Wengi wetu hapa JF ambao tunaisi UK, US na nchi zingine, uwezo wetu wa kubaini mambo na kufikiria nje ya sanduku ni mkubwa kuliko wenzetu walioko nyumbani.

Hivyo basi, jinsi ushawishi na utashi wetu ulivyo mwingi kuhusiana na Uchaguzi mkuu wa marekani na kujua kwetu kila linalosemwa na kuwa wachunguzi wa kila kitu kuhusiana na Obama, Clinton, Romney, McCain na Guliani, kuna maaniwsha kuwa safari ya kuleta Demokrasia na Serikali inayowajibikla Tanzania ni ya kweli na itafanikiwa.

Lowassa alitudharau sana sisi wa kijiwe hiki JF, muulize kilichotokea! Baadhi yetu hapa ndio tuliofanya uchunguzi kuhusu Richmond, kuhusu BOT , na hii ni kutokana na exposure. Hata kama ni kujifunza umahiri kwa kuangalia CSI, Law and Order, The Wire au Shark, tunajifunza mbinu ambazo Hosea alizipuuza na kudai Richmond ilikuwa haina matatizo.

We are learning a process my brother and hopefully we will be able to use it at home and hence increase openess in our electoral system!

Lakini usikate tamaa Nyani Ngabu atakaposema hatujajifunza chochote!
 
303217437.jpg

The Power Grid
Obama's Path
From where he stands, he can see his way to the nomination. But is he tough enough to get there?

The morning after Super-Duper Tuesday, Barack Obama held a press conference in Chicago, where he was asked an obvious question: Isn't it a mite disingenuous for him to continue to cast himself as the underdog in his race against Hillary Clinton? "I'm never disingenuous," Obama deadpanned. "I think we are less of an underdog than we were two weeks ago. Two weeks ago, we were a big underdog. Now we are a slight underdog." Obama added, with a smile, "I think we are turning out to be a scrappy little team."

Never let it be said that Obama is a man without a sense of humor. Put aside his performance the day before, when he won a majority of the states and a majority of the delegates (or so his side maintains) up for grabs. Put aside the fact that in January his campaign raked in an astonishing $32 million and that another $6 million arrived in the following 24 hours. Consider instead that on the very same day, Clinton was forced to acknowledge that she'd injected $5 million of her own money into her operation, with possibly more self-funding to come. Consider that some of her senior strategists were offering to work without pay. Consider that her team was asking, pleading for more debates-and gamely, if lamely, trying to label Obama as the "Establishment candidate."

Now, honestly, which of these campaigns sounds as if it's riding high? And which sounds like it's reeling?

Unwelcome as it may be in terms of spin, the reality is that Obama stands as the front-runner in the race. The question is whether he can translate that position into the nomination. And here the answer is far less clear. Though the path that could transport Obama to victory isn't difficult to discern, it's a road pockmarked with potholes. Also one that appears increasingly likely to carry him and his party into terra incognita-maybe even past the end of the primaries and all the way to the Democratic convention.

Beyond his own estimable political skills, the greatest advantage that Obama has going forward is money. The resources required by the states that lie ahead may seem like a drop in the bucket compared with those demanded by Super-Duper Tuesday. But we're still not talking chump change. To run effective air and ground operations in Ohio, Texas, and Pennsylvania, says Jonathan Prince, a top adviser to John Edwards, "a serious campaign probably needs to spend around $5 million a week." And that's just three-albeit the most delegate-rich three-of some two dozen contests yet to come.

Making a nut of virtually any size should pose few problems for Obama, whose team is reportedly on track to raise another $30 million in February. From the start, his campaign has assembled a small-donor machine that, as David Axelrod put it to me, "lets us build ever-expanding concentric circles of support." But no such mechanism exists on the Clinton side, which rested its vaunted fund-raising apparatus on the backs of big contributors, most of whom are tapped out. While the campaign is working feverishly to get its online buckraking pistons pumping-and, indeed, in one day last week, they generated $4 million-it finds itself scrambling to play catch-up. Might Bill Clinton have to spend some of the $20 million he's reportedly owed from Ron Burkle on radio ads in Cleveland or Fort Worth? The mind reels, but, hey, who knows?

Obama's second major advantage is the calendar. Between Super-Duper Tuesday and March 4-when Ohio, Texas, Vermont, and Rhode Island vote-nine contests were set to take place: four caucuses (a format Obama has dominated), four primaries with a big percentage of black voters (ditto), plus the primary in Wisconsin, in which independents can vote (double ditto). But Clinton's people conceded this week that it was possible that their candidate would win not one of them. And if that or something like it occurs, sheer momentum might propel Obama to a sweep on March 4.

This is Obama's dream scenario, but it may also be a fantasy. From Iowa onward, Obama and Clinton have each assembled a formidable electoral coalition. Hers: downscale Democrats, especially women; senior citizens; Hispanics. His: upscale Democrats, especially men; independents; blacks; young voters. The trouble for Obama is that the demographics of both Ohio and Texas aren't particularly favorable to him. In 2004, just 10 percent of Democratic-primary voters in Ohio earned more than $100,000 a year-and fully 25 percent of those who voted in Texas were Latino. Moreover, HRC will have the bulk of the Establishment support (Ohio governor Ted Strickland is behind her, for example) in both states.

Yet no matter who prevails in Texas or Ohio, there's a reasonable chance that the outcome will settle nothing. Why? Because, as we all were instructed ad nauseam by the TV bloviators on Tuesday, the Democratic process is governed by the principle of proportionality-which means that, unless one side really clobbers the other in a given state, each of them winds up with a roughly equal number of delegates. The intent of proportionality is to protect genuine underdogs. But in a fight between heavyweights, the effect, as Clinton communication czar Howard Wolfson puts it, is "more to avoid picking a nominee rather than picking one."

The implications of all this are firmly grasped in Obama-land. This week, the campaign inadvertently released a spreadsheet containing a detailed projection of the outcomes of the remaining primaries and caucuses. It predicted that Obama would win nineteen of them, but that he would lose by between four and seven points in Ohio, Texas, and Pennsylvania. The bottom line? After the final votes had been cast in Puerto Rico on June 7, Obama would emerge with 1,806 delegates and Clinton with 1,789-both a couple hundred short, that is, of the 2,025 necessary to nail down the nomination.

It's possible, to be sure, that the Obama spreadsheet was leaked intentionally in a bid to set expectations. But the assumptions undergirding the projection strike most political professionals as credible. More to the point, its overall thrust, that in all probability the race is headed toward deadlock, is accepted by the Clinton people. "It is likely that no side will gain an appreciable or significant advantage in overall delegate counts between now and March 4, past March 4, even past April," Wolfson says. "For all of those who, for cycle after cycle, wished for a battle that goes to the convention...you could be looking at such a contest here."

If the race does indeed unfold that way, the cards that Clinton intends to play are already face-up on the table. First, she plans to rely on her advantage among the nearly 800 party panjandrums-elected officials, state chairmen, national committee members-known as superdelegates, who can vote any way they choose. Clinton currently claims a 259-170 lead among these people, with the remainder still planted on the fence; the received wisdom holds that aggressive chit-calling by Clinton and her husband will keep her ahead among this crowd all the way until the end. But if that lead doesn't prove sufficient to put Clinton over the top, her campaign is already agitating loudly that the delegates from Michigan and Florida-two states that were penalized by the DNC for moving their primaries forward and that Clinton won handily in the absence of any real competition-be seated at the convention in August in Denver.

Obama's counteroffensive against the Clintonian Michigan-Florida maneuver is already under way. His campaign correctly argues that to seat those delegations would make a mockery of the DNC, the rules it set, and the entire process. In Michigan, only Clinton (along with Chris Dodd) left her name on the ballot-and thus to count the delegates chosen there would unfairly penalize Obama. As for the superdelegates, Obama began limbering up for that battle the morning after Super-Duper Tuesday, previewing the pitch that he intends to make should the occasion warrant it. "If this contest comes down to superdelegates, we are going to be able to say we have more pledged delegates, which means the Democratic voters have spoken," he explained. "Those superdelegates, those party insiders, would have to think long and hard how they would approach the nomination."

The trace of confrontation in Obama's tone suggests how ugly things could get in Denver if Clinton attempts to take possession of the nomination this way. It hints at the crisis of legitimacy that could explode, ripping the party in two. In these circumstances, the moral responsibility for avoiding such a crisis would lie squarely with Hillary and her husband, but the political challenge, and opportunity, would rest with Obama. The superdelegates are, it's true, the embodiment of the Democratic Establishment. But in case you haven't noticed, much of that Establishment has lately turned its back on the Clintons-or put the boot in them. Many, maybe most, of the superdelegates are open to persuasion. A surprising number may even be ready to "turn the page." What they want most of all is a Democratic nominee who can win. If Obama fails to bring enough of them over to his column, it should tell us something: That the man sure can give a hell of a speech, but he can't close the deal.

E-mail: jheilemann@gmail.com.
Find this article at:
http://www.nymag.com/news/politics/powergrid/43882
 
Umefuatilia ratiba na shughuli zake tokea ang'atuke ile 2001? Miaka mingapi imepita tokea aachie ngazi? Na kwani si kila mwaka hapa Marekani watu wana-file taxes? So kama unataka record za income zao kwa vile wao mishahara yao inalipwa na hela za walipa kodi nina uhakika utazipata tu. Jaribu ku-google uone wana-worth kiasi gani kabla hujaanza kurusha madongo bila kujua.

Yeah..you stand for change with Ted Kennedy (who has been in the senate since way back when) an John Kerry....that's real change!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I think change should start in MA with it's senior sanator. Kwanza alishagaua mtu huyo halafu kesi yake ikaisha kinyemelanyemela tu kwa vile yeye ni Kennedy (ESTABLISHMENT)

Unajua sasa hivi watu wapo obsessed na Obama kiasi kwamba wapo tayari ku-twist ukweli wowote to Obama's advantage. Sasa angalia wanajua kabisa kwamba ni Hillary aliyepata delegates wengi kuliko Obama, lakini bado watataka kuonyesha kwamba Obama ndiye aliyeshinda kwa kuwa alipata states nyingi zaidi wakati huohuo wanajua kinachotakiwa hapa ni number of delegates sio number of states! Haya angalia walivyokubishia kwamba haya ma-endorsements hayaleti kura, huyu dada akashinda hukohuko kwa hao walim-endorse Obama! Lakini bado press ita-twist tu kwa advantage ya Obama. Ama kweli when you're likeable you're just likeable even though it is for no apparent reason. Na uzuri ni kwamba this is natural, sio kwetu weusi tu, kote kama tunavyoona. They just like the guy and they will try to say anything to show that they like him, I mean it is so natural, hakuna haja ya Hillary kupata pressure. Maana walimchukia, wakamkandia, na New York Times wakamu-endorse Obama huko NY, lakini si bado alishida hiyo NY na California? Ukweli ni kwamba wapenzi wa Hillary wanajua kwamba this is lady is far better than what they are being told by Obama's pundits. Naona sasa hivi tena issue imeshakuwa Obama ku-raise mahela mengi. Angekuwa ni Hillary ame-raise hizo hela angesemwa vibaya mno kwamba anategemea hela, na blabla zingine kibao, lakini madamu kafanya Obama basi it is ok. Hii inanikumbusha kampeni za JK, yaani wakati huo ulikuwa ukimpinga JK unaonekana mwizi wa ajabu tena wangekuwa na uwezo wangekunyang'anya hata uraia, lakini ndio tupo wote tunam-screw JK. Sasa itabidi Obama ajitahidi akipata ushindi asiwa-dissapoint jamaa zake akama alivyowatenda Kikwete.
 
Dear moderators, I feel offended by this name

So please can the mmiliki wa jina defend why he/she chooses jina lililo jirani na utupu?? Then we must please pay the respect of our beautiful swahili and giving meaningful names and not viashiria-matusi.
just offended.

But the post he/she did is positive one but the poster name destroys the importance...

Msanii

Mimi nimelalamila kwa modereta mara 2 hadi loe wamekaa kimya!

Hili jina linashusha heshima JF!
 
kwani clinton kawa endorsed na wangapi??mbona hiyo hamfanyi issue!! officials wa CT karibu wote wali-endorse Hillary na akaweka ile yake ya kulialia,lakini bado alishindwa!! ama kweli "nyani sio ngabu lol haoni............." ninyi ni kusema wenzenu, lakini ushabiki wenu wa "ki-yanga na simba" hamuoni!!. Check facts zako vizuri, kabla huja-post.....kuna kitu kinaitwa super delegates, halafu njoo kesho saa kama hii sema nani anaongoza kwa delegates!!!
 
Back
Top Bottom