Urusi yaomba msaada Marekani wa kupambana na Corona

Nimemuelewesha apo juu kuwa kuomba msaada ktk kipindi hichi cha korona au kupewa msaada haimaanishi kuwa hujiwezi, sometimes ni kuimarisha diplomatic na kuonyesha nchi ziko pamoja ktk kukabiliana na korona but hakutaka kuelwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia wemesema hali ni mbaya kwa sasa na wanaupungufu, na wanasema wanavihitaji kwa haraka hivyo vifaa make kwa leo tu kuna case mpya zaidi ya 8900 na serious case zinaongezeka maradufu, Pompeo kawahakikishia vifaa viko njiani. Nashangaa unapokuja na blah blah zako hapa wakati hii ni habari tu kama habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli ni kuwa sio kwamba inahitaji msaada kutoka kwao bali ni kuwa wanataka waonyeshe umoja na ushirikiano ktk janga hili, pia misaada haina maana kuwa wanaitaji hela, mtu anapokuambia anataka msaada pengine ata wa mawazo, hata maisha ya kawaida tajiri huwa anataka msaada wa maskini humu mitaani mwetu
Mkuu hivi wewe ni Muha au Mzaramo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sexer,
Badala wamuombe Magufuli wanahangaika na mtu mwenye wagonjwa wengi. Wonders shall never end. Kitu nyungu malimao korona anatoka nduki.
Kwa hawa wanaozika kimya kimya usiku na kuficha takwimu. You must be crazy.
 
Wale simba waliokuwa wamewaachia mitaani kulinda watu wakae ndani tu wakiwa lockdown hawajasaidia tu?
 
Kwa hawa wanaozika kimya kimya usiku na kuficha takwimu. You must be crazy.
Yah I guess I am, ila hata kama wangetoa takwimu zote hatujafikia kiwango cha vifo vyao hata robo... And by the way I was not serious about what I wrote.
 
Russia wemesema hali ni mbaya kwa sasa na wanaupungufu, na wanasema wanavihitaji kwa haraka hivyo vifaa make kwa leo tu kuna case mpya zaidi ya 8900 na serious case zinaongezeka maradufu, Pompeo kawahakikishia vifaa viko njiani. Nashangaa unapokuja na blah blah zako hapa wakati hii ni habari tu kama habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea RUSSIA waanze kuripoti visa vyakorona hio ndio ilianza kua siku yao yatatu kuripoti visa vichache maana walikua wanaripoti visa 10000+

Hvyo walisha anza kupunguza kasi yamaambukizi kabla yakuanza kuomba msaasa.

Sent using My COVID-19
 
Ndio nimekusudia haina maana kuwa ndio inaitaji msaada yaani kama sisi ila ni kuonyesha ushirikiano ndio lengo kuu, hata matajiri wanapeana V8 ni kawaida sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
... kwa hiyo Urusi ina vifaa vya kutosha ila ili kuonesha tu "ushirikiano" wameamua wasivitumie badala yake waombe vya kutoka Marekani? Acha mizaha Mkuu. Anyway, lengo la post yako linaeleweka hata na mjinga haihitajiki akili yoyote kung'amua ulikusudia nini.
 
Tokea RUSSIA waanze kuripoti visa vyakorona hio ndio ilianza kua siku yao yatatu kuripoti visa vichache maana walikua wanaripoti visa 10000+

Hvyo walisha anza kupunguza kasi yamaambukizi kabla yakuanza kuomba msaasa.

Sent using My COVID-19
We unafikiri Russia kaomba msaada leo au jana! May 8 Putin alizungumzia kuhusu msaada wa ventilators walioomba kutoka US, May 15 Russia ilikuwa na cases 10598, wakati may 14 kulikuwa na new cases 9974 hivyo basi cases zinapungua na kupanda sio kwamba zinapungua siku hadi siku. Na si kweli Russia kaomba msaada baada ya maambukizi kupungua sababu hajaomba jana wala juzi ana siku kadhaa toka aombe, kumbuka maambukizi ya juu zaidi ilikuwa may 11, cases 11656 na hapo Russia alikuwa tayari keshaomba maada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashangaa mnapiga porojo za Urusi kuomba msaada kwa Marekani.Mnasahau kuwa Urusi ndo imetoa misaada nchi nyingi Duniani, mpaka Marekani na China wamepewa msaada na Warusi.

Mpaka muda huu Urusi ndo ina vifo vichache vya covin-19 kwa iyo ukisema Urusi hali ni mbaya utakuwa unakosea maana ukiangalia nchi nyingi zenye mambukizi makubwa unakuta vifo ni vingi sana.sasa sijui wanadawa mzuri au kinga zao sipo juu.

Kama mnakumbuka kuna video ilikuwa inazagaa kuwa ambulance zaidi ya 50 zimepanga foreni sikisubiri kuingiza wagojwa ndani ya hospital ya Urusi, wakati Nchi za ulaya wagojwa wengi wanapelekwa na ndugu zao na wengine wanaenda wenyewe kutokana na uhaba wa ambulance.

China na Urusi ndo zimejenga hospital nyingi za kukabaliana na covin-19.Urusi imejenga zaidi ya hospital 15 kwa ajili ya covin-19.

Mwisho kabisa Warusi wanahamini vitu vyao kuliko vitu vya mtu yoyote yule duniani, ni ngumu sana kusikia Warusi waombe msaada kwa mtu yoyote yule.ni bora watu wao wafe kuliko kuomba msaada

Hata hivyo, nchi hiyo ambayo idadi yake jumla ya walioambukizwa ni 290,678 ni ya pili kati ya nchi zenye maambukizi mengi zaidi baada ya Marekani imesema hali bado ni ngumu baada ya maafisa kuripoti visa vipya, 8,926 vya maambukizi.

Naibu waziri wa mambo ya nje, Sergei Ryabkov amesema Urusi inashughulikia suala la kupata msaada wa tiba kutoka Marekani ili kusaidia kukabiliana na kirusi hicho.

Sio sisi warusi wenyewe ndo wanasema hapo kwenye red.

Hali uwa inakuwa mbaya pale ugojwa unapoleta matatizo, sasa kama watu wanapata mambukizi kisha wanapona hali inakuwaje mbaya hapo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo, nchi hiyo ambayo idadi yake jumla ya walioambukizwa ni 290,678 ni ya pili kati ya nchi zenye maambukizi mengi zaidi baada ya Marekani imesema hali bado ni ngumu baada ya maafisa kuripoti visa vipya, 8,926 vya maambukizi.

Naibu waziri wa mambo ya nje, Sergei Ryabkov amesema Urusi inashughulikia suala la kupata msaada wa tiba kutoka Marekani ili kusaidia kukabiliana na kirusi hicho.

Sio sisi warusi wenyewe ndo wanasema hapo kwenye red.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo hali ya Marekani ni nzuri,.....Compare idadi ya walio kufa katika nchi hizo mbili.
 
Back
Top Bottom