Urusi waanza kutafuta msaada wa wapiganaji kutokea Serbia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,451
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine...

ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian troops in Ukraine has prompted outrage in Serbia, exposing its complex relationship with Moscow.
Russia's Wagner mercenary group made the Serbian-language videos to encourage recruitment for the war.

Serbia's president, Aleksandar Vucic, reacted angrily on national TV.

"Why do you, from Wagner, call anyone from Serbia when you know that it is against our regulations?" he said.

Critics frequently accuse Serbia of prioritising its long-standing friendship with Russia over its ambition to join the EU. But what has emerged in recent days in Belgrade shows that the picture is not so black and white.

Hinting at less-than-rosy relations with Moscow, President Vucic said that not only was Serbia "neutral" regarding the war in Ukraine, but that he had not spoken to Russian President Vladimir Putin for "many months".

It is illegal for Serbians to take part in conflicts abroad.

7621CD84-5FF7-45C6-AA76-C26EDC5ECFB2.jpeg
 
Bila shaka wewe jinsia yako ni KE au kama ni ME basi ni wale walioleft group,, habari zako nyingi zimekaa kiumbea umbea,, chanzo cha habari yako ni nini? Kwa maana kama hili ni kweli basi tungeona hata hivyo vyombo vya habari vyao NATO/American yaani BBC,CNN, AFP,REUTERS etc vingeripoti hii habari.
 
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine...

ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian troops in Ukraine has prompted outrage in Serbia, exposing its complex relationship with Moscow.
Russia's Wagner mercenary group made the Serbian-language videos to encourage recruitment for the war.

Serbia's president, Aleksandar Vucic, reacted angrily on national TV.

"Why do you, from Wagner, call anyone from Serbia when you know that it is against our regulations?" he said.

Critics frequently accuse Serbia of prioritising its long-standing friendship with Russia over its ambition to join the EU. But what has emerged in recent days in Belgrade shows that the picture is not so black and white.

Hinting at less-than-rosy relations with Moscow, President Vucic said that not only was Serbia "neutral" regarding the war in Ukraine, but that he had not spoken to Russian President Vladimir Putin for "many months".

It is illegal for Serbians to take part in conflicts abroad.

Kwani Wabongo wameisha?
 
Mkuu mtoa mada, kama ulikuwa haujua hakuna mwanajeshi hata mmoja wa urusi aliyekwisha enda mstari wa mbele kupigana. Isipokuwa wachache tena mabrigedia wale viongozi. Mnaopigana nao ni wanamgambo tu wa kujitolea. Ila wale most trained cops bado wapo wanasubiri amri ya mtaalam wa medali puttin ili waonyeshe maajabu
 
Mgambo anaendesha kifaru, helicopter, meli ya moskova, drone, ballistic missiles na marocket
 
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine...

ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian troops in Ukraine has prompted outrage in Serbia, exposing its complex relationship with Moscow.
Russia's Wagner mercenary group made the Serbian-language videos to encourage recruitment for the war.

Serbia's president, Aleksandar Vucic, reacted angrily on national TV.

"Why do you, from Wagner, call anyone from Serbia when you know that it is against our regulations?" he said.

Critics frequently accuse Serbia of prioritising its long-standing friendship with Russia over its ambition to join the EU. But what has emerged in recent days in Belgrade shows that the picture is not so black and white.

Hinting at less-than-rosy relations with Moscow, President Vucic said that not only was Serbia "neutral" regarding the war in Ukraine, but that he had not spoken to Russian President Vladimir Putin for "many months".

It is illegal for Serbians to take part in conflicts abroad.

Kibanda kimeanza kuporomoka huko
Screenshot_20230119-215844_RT News.jpg
 
Mkuu mtoa mada, kama ulikuwa haujua hakuna mwanajeshi hata mmoja wa urusi aliyekwisha enda mstari wa mbele kupigana. Isipokuwa wachache tena mabrigedia wale viongozi. Mnaopigana nao ni wanamgambo tu wa kujitolea. Ila wale most trained cops bado wapo wanasubiri amri ya mtaalam wa medali puttin ili waonyeshe maajabu

Utakua kioja au ndio umeamka baada ya kulala miezi, Urusi imepoteza majenerali wameuawa kwenye hivi vita, hivi unajua mpaka unamuua jenerali utakua umeua makajamba wangapi huko chini???
 
Hehehe haitokuja nisahau kichapo alichopokea yule Mwarabu wa Iraq, hiyo ndio maana ya supapawa, unasambaratisha hadi mji mkuu....
Kasome kuhusu highway of death, msafara wa majeshi ya Saddam ulipigwa kama mbwa

highway-of-death1.jpg
Sasa hapa wewe nini kilichokufahisha,,, hao watu kufa au,, yaani umekaa kiuchawiuchawi sana we jamaa
 
Mkuu mtoa mada, kama ulikuwa haujua hakuna mwanajeshi hata mmoja wa urusi aliyekwisha enda mstari wa mbele kupigana. Isipokuwa wachache tena mabrigedia wale viongozi. Mnaopigana nao ni wanamgambo tu wa kujitolea. Ila wale most trained cops bado wapo wanasubiri amri ya mtaalam wa medali puttin ili waonyeshe maajabu
Duh!...hii kali Sasa...
 
Back
Top Bottom