Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,309
30,948
Mzuka Wanajamvi!

Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine.

Ameendelea kutahadharisha jinsi wanavyojichelewesha kwenye huu mchakato ndivyo mambo yatakuwa magumu kwao kufikia makubaliano na sisi.

Quote from Lavrov: "We are not opposed to negotiations, but those who are must realise that the longer they delayed this process, the more difficult it would be for them to reach an agreement with us."

Senior JF geopolitics expert and analyst!

Masters
 
Wapii. Kabla ya vita kuanza Zelenskyy alimsihi Sana Putin. EU ilimsihi sanavPutin asianzishe vita. Hadi Macron alienda Kremlin
... hata hakumbuki UN's SG alidhalilishwa sana na Putin kwa kuwekwa at the end of a very long table an indication that he (Putin) didn't to hear from him about the Ukrainian saga. Pope naye pamoja na kumsihi sana dikteta aliishia kudhalilishwa.
 
Mzuka Wanajamvi!

Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine.

Ameendelea kutahadharisha jinsi wanavyojichelewesha kwenye huu mchakato ndivyo mambo yatakuwa magumu kwao kufikia makubaliano na sisi.

Quote from Lavrov: "We are not opposed to negotiations, but those who are must realise that the longer they delayed this process, the more difficult it would be for them to reach an agreement with us."

Senior JF geopolitics expert and analyst!

Masters
Pumbav Sana na uharibifu wa Mali na maisha ya watu waliosababisha ,kenge wekundu hao ,ngoja waendelee kunyoodhwa na Himars saa hivi wataitema hata Crimea na watanyoodhwa mpaka Moscow
 
... hata hakumbuki UN's SG alidhalilishwa sana na Putin kwa kuwekwa at the end of a very long table an indication that he (Putin) didn't to hear from him about the Ukrainian saga. Pope naye pamoja na kumsihi sana dikteta aliishia kudhalilishwa.
UN hata congo hawatakiwi na wananchi,unamshangaa Putin
JamiiForums376846847.jpg
 
Back
Top Bottom