Jenerali wa Marekani asema Ukraine imebakiwa na siku 30 iinue mikono juu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile.

Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si rahisi.

Generali mwengine naye akasema nchi za magharibi zijiandae kwa aibu hiyo.

===========

US President Joe Biden and Ukrainian President Volodymyr Zelensky during the NATO Summit

Time is running out for Ukraine. After 18 months of war, it is no longer a question of if the Western alliance will falter, but when. Since the start, despite making many of the right noises and supplying some military hardware, France and Germany, in particular, have been reluctant partners. Their leaders have often seemed more concerned with finding an “off-ramp” for Vladimir Putin than ejecting his forces from Ukraine. As well as dependency on Russian energy, a pacifist instinct among Western European political classes has led to neglect of their armed forces and a corresponding fear of escalation.

As the provider of the lion’s share of backing for Ukraine, it is the US calling the shots in this war. Yet, since the earliest days, President Biden, too, has been dragging his heels, giving just about enough military assistance to keep Ukraine fighting, but intentionally not enough to enable a victory.

Like his Western European allies, Biden has been successfully deterred by Putin’s empty threats of widening the war. Faint-hearted concerns over provoking Putin explains his failure to provide urgently-needed weapons, including combat planes and long-range missiles, and for his obstinate resistance against Nato membership for Ukraine.

Now, polls in both Europe and the US show public support for military aid to Kyiv dropping away, with one recent survey indicating that less than 50 per cent of Americans are in favour of additional funding. This at least partially reflects sluggish progress in Ukraine’s counter-offensive, which has seen only limited gains so far.

Western military analysts and the media built expectations that, this summer, Kyiv would repeat its striking victories of last autumn at Kharkiv and Kherson. Now, people are wondering how much bang they are getting for their buck, and whether the significant investment made by their countries will ever achieve anything concrete.

There is also growing disquiet about Ukrainian corruption, amplified by those voices who oppose American engagement in Europe for other reasons. Corruption concerns do need to be addressed, but they do not trump the West’s overriding strategic interest in preventing a Russian victory.

Zelensky obviously recognises the coming hinge point in Western support, and his recent actions may indicate a degree of alarm. He has, for example, jailed the allegedly corrupt tycoon and former provincial governor Igor Kolomoisky, a long-term ally and supporter. He sacked defence minister Oleksii Reznikov at the height of the war, again amid corruption allegations.

The latter may signal a coming change to Ukraine’s military strategy. None of this will make a significant difference. No strategic adjustment can turn the war around without dramatically increased military aid. And whether or not corruption is tackled, Olaf Scholz, Emmanuel Macron and, most importantly, Biden will be exerting pressure on Kyiv to come to terms, sooner or later. Biden foretold this last summer, when he wrote that the US was arming Ukraine not to defeat Russian aggression, but to “fight on the battlefield and be in the strongest possible position at the negotiating table”. Putin is only likely to play ball – though this is far from certain – provided he can keep the Ukrainian territory he has illegally annexed, and Ukraine’s Nato membership is kept permanently off the table.

That would obviously be a disaster for Ukraine, but it would also be a defeat for Nato. For Putin, it would be a victory that would encourage further aggression against Ukraine and the West in the coming years.
If anything like this scenario plays out, a humiliated West will need a robust damage-limitation strategy. This would involve building up Nato forces, which still has not yet been seriously approached on either side of the Atlantic. There is no indication, for example, that Germany is budgeting to reach the minimum Nato defence spend of 2 per cent of GDP, despite promises. The UK continues to make further cuts to its undersized army.

A second prong would be continued economic warfare against a weakened Russian economy, to emphasise the price for waging aggressive war and undermine Moscow’s ability to rearm. This is highly problematic. No doubt any peace deal would entail lifting sanctions, so more imaginative means of stifling Russia’s war economy are needed. Interdiction of weapons supply from Iran and North Korea – which both present a grave threat to the West – should be seriously explored.

Another important track is for Western states to sponsor civil legal action against frozen Russian assets, which currently amount to about £600 billion globally. An example of this is the current effort by the British not-for-profit initiative PayBack4Ukraine, which is seeking to seize assets through the courts to fund reparations for victims of Putin’s aggression. This form of “lawfare” could be a game-changer in clipping Russia’s wings and would also send a clear signal against future aggression to states such as China and Iran. But a strategic approach is needed, such as the establishment of an international tribunal dedicated specifically to such litigation.

To maximise effect in the face of sanctions removal, this needs to be set up before any peace talks.
If the West can’t find the backbone to help Ukraine put a stop to Russia’s seizure of its territory, then it needs to be planning decisive measures for the day after, rather than simply repeating the errors that followed Putin’s Crimean land grab in 2014 and led directly to the 2022 invasion.

Source: Telegraph
 
Mnajifuragisha tu lakini kuhualisia super pawer anapokea kichapo,na atazidi kupokea mpaka wakati utakapoitema Crimea na maeneo mengine aliyopora

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa panya boi. Mbona mnasaka wapiganaji?, Mmeanza kuziomba friend county iwapeni raia wenu walio kimbia au walio kuwa na maisha Yao huko?.

Kwani wapiganaji hawatoshi?. Mkuu maji Sasa yanajitenga na mafuta automatic.
 
Naona unaongea mwenyewe na kujitekenya mwenyewe, Leo Ukreane wametoa report kuzidi kunyakua maeneo yao yaliyotekwa na mavamizi na kwamba russia inazidi kusiginwa kurudi walikotoka alafu unaleta habari za sadiki ukipenda
 
Mnajifuragisha tu lakini kuhualisia super pawer anapokea kichapo,na atazidi kupokea mpaka wakati utakapoitema Crimea na maeneo mengine aliyopora

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO & UKRAINE hawawezi kuipiga URUSI hapa tunaongea kinabii zaidi, mnatuonaga kama hatujui tunachoongea,,,, SAIZI ni muda wa MA
 
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile.
Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si rahisi.
Generali mwengine naye akasema nchi za magharibi zijiandae kwa aibu hiyo.

Ukraine’s counteroffensive is stalling. The West must prepare for humiliation

View attachment 2745065
Hii habari umeitafsiri vibaya sana,na hii ni kutokana kwamba unashabikia upande mmoja wapo wa huo mzozo,ulichokifanya hapo kinaitwa upotoshaji.
 
Mnajifuragisha tu lakini kuhualisia super pawer anapokea kichapo,na atazidi kupokea mpaka wakati utakapoitema Crimea na maeneo mengine aliyopora

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Saizi ni wakati wa kulipa mkopo wa NATO hasa Marekani muandae MAENEO yenye MADINI na MAFUTA mengi Marekani wanapenda sana
GOLD OIL AND diamond , in GOLD OIL AND DIAMOND we .......

KIBARAKA wa NATO amesha kula PESA , ZAKE ,....tuliruhusu SHETANI kutuletea vita ambayo haikua na ULAZIMA .....
DEVIL IS THE DESTROYER
 
Mtu uko Kasulu, ila unambishia General wa US army kuhusu vita. Hebu kua serious mkuu!

Aliyepo marekani na aliyepo Kigoma mwisho wa Reli wote hawajui kinachotokea vitani. Huyo General ni mpuuzi Kama wapuuuzi wengine. Kuwa General sio ishu, inawezekana akawa ni general kwy kikosi cha wapiga muziki jeshini. Kwa iyo wala Hana anachojua
 
Unachekesha mkuu. BBC wamtafute mpiga mziki kujadili masuala ya vita? Hauwezi kua serious!

Mtu wa Kasulu kua na analysis zilizonyooka kuhusu vita kumzidi general wa US army, ni kichekesho kingine!
 
Hii habari umepotosha ndugu! Wasiojishughulisha kusoma habari ndio utawakonfyuzi.

Huyo jenerali kasema kwamba, Ukrain imebakiwa na siku 30 - 45 za kupambana kabla ya hali ya hewa kuwa mbaya. Tafsri yake baridi ikianza itazuia counteroffensive kitu ambacho kitawafanya wasubiri hali ya hewa iwe nzuri, hapo Urus naye atapata fursa ya kuendelea kujipanga, hivyo vita kuendelea kwa muda mrefu tena.

Habari sahihi;

Ukraine imesalia na siku zisizozidi 30 za mapigano dhidi ya Urusi kabla ya hali ya hewa kuzuia mashambulizi yake, afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Marekani anasema.

Akiongea na BBC Jumapili kupitia kipindi cha Laura Kuenssberg, Jenerali Mark Milley alisema hali ya baridi itafanya iwe vigumu zaidi kwa Ukraine kutekeleza mashambulizi.

Alikiri mashambulizi hayo yalikwenda polepole zaidi kuliko ilivyotarajiwa. Lakini alisema: "Bado kuna mapigano makali yanayoendelea. "Waukraine bado wanasonga mbele na wamekuwa na maendeleo thabiti."

Jenerali Milley alisema ni mapema mno kusema kama mashambulizi ya kukabiliana na mashambulizi ya Urusi yameshindwa, lakini akasema Ukraine "inaendelea kwa kasi ya utulivu katika mstari wa mbele wa Urusi".

"Bado kuna muda wa kutosha, labda takriban siku 30 hadi 45 kabla ya hali ya hewa mbaya kuanza, kwa hivyo Waukraine hawajamaliza. "Kuna vita ambavyo havijafanyika... hawajamaliza sehemu ya mapigano ya kile wanachojaribu kutimiza."

Chanzo: BBC Swahili
 
Mzunguko wote huo wa maneno tunawacha na maana inayokuja ni kuwa Ukraine kama hakushinda sasa hataweza baada ya siku hizo 30-45.Kwa sababu alijipanga sana na akapewa silaha na ameshindwa.Utabiri wa Milley ndio wa kitaalamu zaidi.
 
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile.

Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si rahisi.

Generali mwengine naye akasema nchi za magharibi zijiandae kwa aibu hiyo.

===========

US President Joe Biden and Ukrainian President Volodymyr Zelensky during the NATO Summit

Time is running out for Ukraine. After 18 months of war, it is no longer a question of if the Western alliance will falter, but when. Since the start, despite making many of the right noises and supplying some military hardware, France and Germany, in particular, have been reluctant partners. Their leaders have often seemed more concerned with finding an “off-ramp” for Vladimir Putin than ejecting his forces from Ukraine. As well as dependency on Russian energy, a pacifist instinct among Western European political classes has led to neglect of their armed forces and a corresponding fear of escalation.

As the provider of the lion’s share of backing for Ukraine, it is the US calling the shots in this war. Yet, since the earliest days, President Biden, too, has been dragging his heels, giving just about enough military assistance to keep Ukraine fighting, but intentionally not enough to enable a victory.

Like his Western European allies, Biden has been successfully deterred by Putin’s empty threats of widening the war. Faint-hearted concerns over provoking Putin explains his failure to provide urgently-needed weapons, including combat planes and long-range missiles, and for his obstinate resistance against Nato membership for Ukraine.

Now, polls in both Europe and the US show public support for military aid to Kyiv dropping away, with one recent survey indicating that less than 50 per cent of Americans are in favour of additional funding. This at least partially reflects sluggish progress in Ukraine’s counter-offensive, which has seen only limited gains so far.

Western military analysts and the media built expectations that, this summer, Kyiv would repeat its striking victories of last autumn at Kharkiv and Kherson. Now, people are wondering how much bang they are getting for their buck, and whether the significant investment made by their countries will ever achieve anything concrete.

There is also growing disquiet about Ukrainian corruption, amplified by those voices who oppose American engagement in Europe for other reasons. Corruption concerns do need to be addressed, but they do not trump the West’s overriding strategic interest in preventing a Russian victory.

Zelensky obviously recognises the coming hinge point in Western support, and his recent actions may indicate a degree of alarm. He has, for example, jailed the allegedly corrupt tycoon and former provincial governor Igor Kolomoisky, a long-term ally and supporter. He sacked defence minister Oleksii Reznikov at the height of the war, again amid corruption allegations.

The latter may signal a coming change to Ukraine’s military strategy. None of this will make a significant difference. No strategic adjustment can turn the war around without dramatically increased military aid. And whether or not corruption is tackled, Olaf Scholz, Emmanuel Macron and, most importantly, Biden will be exerting pressure on Kyiv to come to terms, sooner or later. Biden foretold this last summer, when he wrote that the US was arming Ukraine not to defeat Russian aggression, but to “fight on the battlefield and be in the strongest possible position at the negotiating table”. Putin is only likely to play ball – though this is far from certain – provided he can keep the Ukrainian territory he has illegally annexed, and Ukraine’s Nato membership is kept permanently off the table.

That would obviously be a disaster for Ukraine, but it would also be a defeat for Nato. For Putin, it would be a victory that would encourage further aggression against Ukraine and the West in the coming years.
If anything like this scenario plays out, a humiliated West will need a robust damage-limitation strategy. This would involve building up Nato forces, which still has not yet been seriously approached on either side of the Atlantic. There is no indication, for example, that Germany is budgeting to reach the minimum Nato defence spend of 2 per cent of GDP, despite promises. The UK continues to make further cuts to its undersized army.

A second prong would be continued economic warfare against a weakened Russian economy, to emphasise the price for waging aggressive war and undermine Moscow’s ability to rearm. This is highly problematic. No doubt any peace deal would entail lifting sanctions, so more imaginative means of stifling Russia’s war economy are needed. Interdiction of weapons supply from Iran and North Korea – which both present a grave threat to the West – should be seriously explored.

Another important track is for Western states to sponsor civil legal action against frozen Russian assets, which currently amount to about £600 billion globally. An example of this is the current effort by the British not-for-profit initiative PayBack4Ukraine, which is seeking to seize assets through the courts to fund reparations for victims of Putin’s aggression. This form of “lawfare” could be a game-changer in clipping Russia’s wings and would also send a clear signal against future aggression to states such as China and Iran. But a strategic approach is needed, such as the establishment of an international tribunal dedicated specifically to such litigation.

To maximise effect in the face of sanctions removal, this needs to be set up before any peace talks.
If the West can’t find the backbone to help Ukraine put a stop to Russia’s seizure of its territory, then it needs to be planning decisive measures for the day after, rather than simply repeating the errors that followed Putin’s Crimean land grab in 2014 and led directly to the 2022 invasion.

Source: Telegraph
Hata kama huyo General kasema hivyo, nikukumbushe tu kuwa vita hii kimsingi ni Russia (King of the North) vs US./UK (King of the South) Biblia ktk Daniel 11:20

Hata kama huyo General kasema hivyo, nikukumbushe tu kuwa vita hii kimsingi ni Russia King of the North vs US/UK KING OF THE SOUTH
Na Bible ktk Daniel 11 hususan verse 20 panasema And there will stand up in his position one who causes an exactor to pass through the splendid kingdom, but in a few days he will be broken, though not in anger nor in warfare.
Russia atashindwa hiyo vita hata ingawa si kwa mtutu- ikimaanisha kitufulani kitatokea kufanya hiyo vita kuisha. Hatujui, labda Putin ataptwa na jambo Fulani litakalofanya Russia waseme basi kwa hiyo vita. Let's wait for that
 
Back
Top Bottom