gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,604
Heheheheheh dahNi wakati wa urusi kutafuta mechi ya kirafiki sasa
Heheheheheh dahNi wakati wa urusi kutafuta mechi ya kirafiki sasa
So Urusi sasa Ni no fly zone na no fleet zone? Unaruhusiwa ushabiki ila acha uwongo wa dhahiri. Anyway, anachofanya mrusi sasa kwa wamarekani inaonyesha kuwa anatamani mechi hiyo ya kirafiki na wamarekani. Naona si muda mrefu sana atapewa hiyo nafasi.
Kweli warusi noma! Engine zote za rocket za NASA zinanunuliwa Urusi. Na kwa sasa wamenunua stock hadi ya mwaka 2018 labda ndio wataanza kutengeneza zao. Kumbe US sio kila kituHaaahaaa,
Eti Urusi nchi maskini,
Yani NASA hadi leo wanaitegemea URUSI utasema ni nchi maskini kweli?
Daah huwa nasikitika sana.
Bado US ina nguvu kubwa kijeshi hata Mrusi anajua hilo. Ila ni nchi ambazo haziwezi kupigana maana silaha walizonazo wote ni deadly. Hakuna anaetamani kushambuliwa na mwenzieMechi ya kirafiki inaendelea kule Syria.
Hebu tuambie uwongo ukwapi hapa?
Umaskini au utajiri ni relative term. Inabidi useme ni kigezo gani unatumia kusema nchi hii ni maskini au tajiri. Kwamba NASA inategemea Urusi (nafikiri unataka kusema kuhusu zile engines) haiifanyi Urusi kuwa ndo tajiri kwa hii factor alone. Hii theory kwamba kwa sababu taifa moja linategemea taifa lingine kwa product fulani, then hilo taifa lingine linakuwa tajiri, ndo naisikia toka kwako.Haaahaaa,
Eti Urusi nchi maskini,
Yani NASA hadi leo wanaitegemea URUSI utasema ni nchi maskini kweli?
Daah huwa nasikitika sana.
Huu hapa ni uwongo "Urusi sasa Ni no fly zone na no fleet zone". Kuna ndege nyingi tu za abiria zinaenda kila dakika, na meli kibao tu toka nchi mbali mbali zinaenda bandari mbali mbali za Urusi kila siku.
Uwongo mwingine ni kwamba ati melivita za US na NATO zimekoma kabisa kupita katika bahari nyeusi. Kwani hizo Sukhoi za waruzi zilipo-buzz manowari ya marekani, hiyo manowari ilikuwa wapi?
Kuwa na ushabiki ni ruksa, ila angalau muwe mnatoa reference za habari zenu ili ziwe na credibility.
Kivipi nasa wanamtegemea mrusi...Haaahaaa,
Eti Urusi nchi maskini,
Yani NASA hadi leo wanaitegemea URUSI utasema ni nchi maskini kweli?
Daah huwa nasikitika sana.
Umaskini au utajiri ni relative term. Inabidi useme ni kigezo gani unatumia kusema nchi hii ni maskini au tajiri. Kwamba NASA inategemea Urusi (nafikiri unataka kusema kuhusu zile engines) haiifanyi Urusi kuwa ndo tajiri kwa hii factor alone. Hii theory kwamba kwa sababu taifa moja linategemea taifa lingine kwa product fulani, then hilo taifa lingine linakuwa tajiri, ndo naisikia toka kwako.
Sasa tuangalie how rich is Russia compare to the rest of the world!! Tukichukua kigezo cha GDP, Urusi in ya 12!! Hiki ni kigezo ambacho kinatambuliwa kimataifa. Kuna data kibao hapo ambazo unaweza kusoma na kujua utajiri wa Urusi kutokana na vigezo mbali mbali.
Kivipi nasa wanamtegemea mrusi...
YankeeMkuu hawa jamaa wana hazina kubwa sana ya watu wenye akili ikiwa ni pamoja na wanasayansi,na ni watu wasiokata tamaa.kwa nchi kama Urusi inaona ni bora ijenge kwanza jesi lake baadae ndio ijenge uchumi.Kama sio hivyo Yankee watawavamia wakati wowote ili wapate ubwete wa kuitawala dunia.
Ki ukweli hadi sasa sielewi pale Syria nani anapigwa au nani anapigana na nani, Urusi na wenzake wanampiga nani and Saudi Arabia na wenzake wanampiga nani ?Mechi ya kirafiki inaendelea kule Syria.
Aya kaka nitafatilia...ila kwa jinsi habari nyingi za west zinavyokandia urusi sidhan ka wataandika hii newsKwanini usisome na kufanya uchunguzi?
Kuna gharama gani kutembelea mtandao wa NASA?
Huwa anakuja na Vi filamu vya kuumua kuitisha DuniaHaahaa!
Even a magician runs out of ricks; sasa sijui Marekani aje na mbinu ipi kuhadaa dunia.
BASTION SYSTEM K-300P AND ONYX MISSILE P-800 BLOCKS BARENTS AND BLACK SEA.
Nchi ya Urusi kwa sasa inajivunia mordernization ya silaha zake.
Tumeshuhudia silaha mbalimbali zikiboreshwa ikiwa ni pamoja na makombora ya kujilinda dhidi ya ndege na makombora,silaha hizo ni S 300,S 400 na S 500.
Sasa Urusi inajivunia silaha nyinginge mpya na zilizoboreshwa, za kuangamiza na kuteketeza kabisa aina yoyote ya silaha za majini, yaani meli vita na vyombo vinginevyo vipitavyo ndani ya maji,yaani meli vita,nyambizi na air craft carriers n.k
Silaha hizi ni" K-300P "Bastion system", hii ni coastal missile system with supersonic cruise missiles P-800 Onyx.
Silaha hizi zimesababisha black sea na Barents sea kuwa ni Dead zone.
Rais wa Urusi alisikika akisema kwa majivuno kabisa kuwa" hakuna nchi nyingine yeyote yenye silaha kama hii.na kua silaha hizi zimefanaya melivita za US na NATO zikome kabisa kupita katika bahari nyeusi."
P-800 ina speed ambayo rada ya kisasa kabisa haiwezi kuiona na inapita mita chache kabisa kutoka usawa wa bahari nakupiga malengo.
Msemaji mmoja wa Urusi alikaliliwa akisema "hakuna mashindano ya silaha kali, isipokua haya ni majibu ya kile kinachoendelea duniani kwa sasa.
Chanzo: Pravda english,Sputnik news,