Urubani

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,874
23,053
Wadau nisaidieni ,mdogo wangu amemaliza form six na kupata division 2,alichukua PGM na lengo lake ni kusomea urubani wa ndege,nijuzeni vyuo vinavyotoa taaluma hii hapa Afrika na Ulaya ili niweze kumsaidia.
 
I thnk south africa kuna vyuo.kwa hapa bongo,naskia kuna chuo cha kijeshi kiko ngerengere-morogoro,huwa wanatrain marubani,asa cjajua kama na raia huwa wanafundishwa.
 
Nampongeza ila nampa pole kwa hyo alyopata inatakiwa serikal imsaidie,tatzo hta ikimfankishia adhma yke akipata kaz ATCL ataishia kukaa ofsin,maana ndege kizungumkut.Akasomee 2 ila sio kuja kufanya kaz ATCL,taaluma yke itaishia hanger.
 
mkuuu haina haja ya kumpeleka nje ya nchi tena huko wengi wanaishia kuwa mateja na mabwabwa chuo kipohapahapa kuna wadau kibao wanasomesha pale kila kitu kiko safi. jaribu kuchek nao nimekudondoshea mawasiliano yao. naamini wote tunashirikiana kuijenga tanzania yetu. pamoja sana mkuu

Pilot Training & Aircraft
Maintenance Engineers
STUDENTS ADMISSION INTO A CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSE INAEROSPACE AND AIRCRAFT MAINTENACE ENGINEERING TECHNOLOGY FOR 2012/2013 ACADEMICYEAR.
1.(Aeronautical) Airframe and power plant (Major) engineeringtechnology.
2.(Aeronautical) Avionics Engineering technology (Projectedto be offered)
A.CERTIFICATE (NTA 4) IN AEROSPACE AND AIRCRAFT MAINTENANCEENGINEERING TECHNOLOGY.
DURATION – (1) ONE YEAR
ENTRTY QUALIFICATION:Form (4) four with at least four passes two of which should be at credit levelin mathematics, physics chemistry, or English.
OR
Advanced certificateof Secondary Education (ACSEC – E) or Equivalent, with at least one subsidiarypass in any or the relevant (A Level Subject). B.ORDINARY DIPLOMA (NTA 5 AND 6)IN AEROSPACE AND AIRCRAFT MAINTENANCE ENGINEERING TECHNOLOGY. DURATION – (2)TWO YEAR ENTRY QUALIFICATIONS Form (6) Six Examination certificate with atleast two subsidiary passes in Mathematics, Physics, Chemistry or English, ORHolders of any relevant certificate (second class or above) from a recognizedinstitute provided that the candidate had four passes including mathematics,Physic, Chemistry, English at ordinary Level (CSEE) or its equivalent.Application forms are available at the cost of TS. 35,000.00 at UAC Main Campuslocated at Terminal one at Julius Nyerere International Airport – Dar esSalaam. UTAC is registered as a High Education Learning Institution and thefirst ever fully fledged fledged AEROSPACE AND AIRCRAFT MAINTENANCE ENGINEERINGtraining College dedicated to train Future Aviators in Tanzania, InternationalStudents can also apply as long as they meet relevant immigration requirements.( Females will be considered with preference). For more information contact;
The Principal – UTAC
P.O Box 62050 Dar esSalaam
PH: +255 22 284 4000,+255 754 688 868
AT UTAC SKIES ARENEVER THE LIMIT
Training aviators forTanzania future.
Mwalimu JK NyerereInternational Airport
P.O Box 62080, Dar esSalaam, Tanzania
Tel: +255 (22) 2844000
Fax: +255 (22) 2844999
Cell: +255 (754) 688868
 
anataka urubani level ipi? Hapa bongo chuo kipo kinaitwa tropical kinatoa ni ppl tu ila cpl hakuna,ila nakushauri kama ana nia kwel aende pale kwenye ofisi za atcl zipo ips building then wata kuambia vyuo vinavyovikubal wao,ila vingi vzr vpo ethiopia na south africa ppl namaanisha private pilot license and cpl ni commercial pilot license,pale tropical ppl fee ni kama mil 17 ni miez 6 flying hours ni 35
 
kama alivyosema billie, nijuavyo mimi UTAC bado hawana course ya urubani, ila kuna chuo pale airport terminal 1 hicho tropical kinatoa mafunzo ya PPL (Private Pilot License) ambapo unapewa leseni ya kufly na ndege private tu. Ila nimeambiwa mwaka huu wanatarajia kuanza kutoa CPL (Comercial Pilot License) so waibukie kwa maelezo zaidi. Ila ungemuanzisha kwanza kwenye course ya flight operation ingekuwa safi zaidi akifika urubani hapati shida
 
Back
Top Bottom