URGENT: Graduate wa Degree ya Accountancy anahitajika haraka (1 yr exp)

kakaamiye

Senior Member
Aug 5, 2009
179
90
Ninahitaji mwenye degree ya accountancy na awe na mwaka mmoja wa experience, computer knowledge & skills ni muhimu sana .

Ila aelewe kabisa nafasi iliyopo ni ya Stores.

Tuna sababu ya msingi kabisa kuhitaji sifa tajwa kwa nafasi hiyo.

Huna sifa hizo tafadhali usiombe

Mwajiri yupo Dar.

Mwenye sifa ani-PM
 
Ni pm, ila unatakiwa ku-reflect matokeo mazuri kupitia usaili na baadaye uwezo wako wa ku-deliver.

Jambo jingine nilisahau, English iwe imekaa vizuri sana kwani majority ya utakaofanya nao kazi sio waswahili wenzetu
 
Huwezi kuandika mshahara hapa,ili tusikujazie inbox.na kama ni wachina/wahindi/wasomali/waarabu sema mapema
 
Mkuu nimemaliza mwaka 2013 ila experience yangu si ya mwaka vp kuna nafasi au inakuwaje!!
 
mhasibu afanye kazi ya stores mmmh wenye taaluma hii wapo nahisi atafanya kazi nyingi sana si stores tuu
 
Back
Top Bottom