Ureniam ndio Source ya urafiki wa Tanzania na irani.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Hawa wanamafuta ya kutosha na hawana haja ya kutafuta ya Tz.

Kama kueneza dini

kumbuka bwana mkubwa uwa anazunguka kusaka dili. Labda kapata hilo lakuiuzia iran urenium ili waunde nyukria. Nilisikia dili la mitambo ya nyukria ya umeme bongo.

Sina hakika lakini tufikirie tuone
 
are u sure umepost hii kitu mahala pake!! sababu it looks more like a facebook status! hakuna cha kujadili hapo...- ushawahi kujiuliza

je tanzania tuna ugomvi na nchi gani..?? kiasi kwamba tusiwe na marafiki..? je urafiki wa tanzania na iran ulianza baada ya uranium kugunduliwa ... ?
 
Hawa wanamafuta ya kutosha na hawana haja ya kutafuta ya Tz.

Kama kueneza dini

kumbuka bwana mkubwa uwa anazunguka kusaka dili. Labda kapata hilo lakuiuzia iran urenium ili waunde nyukria. Nilisikia dili la mitambo ya nyukria ya umeme bongo.

Sina hakika lakini tufikirie tuone

Mbona Wamemchagua Zanzibar? Sio Bara
 
tenda ya kuchimba madini ya uranium imepewa kampuni iliyosajiliwa australia lakini inayomilikiwa na kiwango kikubwa na warusi hivyo suala la mauzo ya madini hayo yatakuwa chini ya mamlaka ya warusi na si Tanzania. na kama warusi wakiamua kumuuzia irani ni wao na sioni kuna Tatizo kwani mbona wazungu wa barik wanapanga wao nani wa kumuuzia dhahabu?
 
Back
Top Bottom