Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,788
Soon I may join to work in one of uranium mines somewhere in this world.
Your concern is good and appreciated, uchimbaji wa uranium siyo tatizo kabisa.Tatizo linaloisumbua TZ ni sheria ,sheria ya madini ni poor, waste disposal regulations ni poor.
Na wasiwasi wangu ni kuwa sijaona viongozi wakali wa kusimamia maslahi ya taifa.
Nchi ya Canada wanajaribu sana kuwa na "Canada's Radioactive Waste Management Program" ambayo imepelea kuwa na waste disposal kubwa sana AECL, na wana mpango wa kujenga nyingine nyingi, hizio disposala zinaanzia kuanzia mita 1000, (zamani walikuwa wanaanzia mita 500) kwenda chini. Cnada wanaproduce 60% percent of world's supply. Lakini bado wamekuwa wanalalamikiwa kuwa thye are using poor technolog na safety ya wafanyakazi iko chini!JE TANZANIA??? wakati nchi kama Khazakistan wanasifika kuwa they are doing well in nuclear mines! kwa hiyo hapa ni sheria
Pamoja na hayo walikuwa na surface waste disposal, ambazo zimewagharimu mno maana ni gharama sana, at the same time, zile za undeground inabidi ziwekwa mahali ambako mna hakika source ya water haitawafikia binadamu.
Current research ambazo hata mimi nina zisupport ni kuwa , mines zote za nuclear ziwe undeground, pili processing plant iwe undeground, tatu waste disposal iwe undeground, nne plant za umeme ziwe undeground
Pale tutakaporuhusu uranium kumove from one place to another katika surface ndiyo tutaleta shida zote na athari zote za uranium duniani.
Hawa wawekezaji hela wanazo tukiwawekea sheria kali watazifuata, tukiwachekea watavuna na kuondoka
Hivyo basi , there is no rush in it, kama exploration zinafanyika , means serikali imekubali na hawa jamaa watafanya tu watakavyo
Fo future na vizazi vijavyo uranium inaweza kututoa, lakini inahitaji kiongozi anayewaona watanzania na kuwa kipofu kwa wawekezaji.
iteleta umeme wa kudumu, katika dunia ya global warming, kuna kipindi maji yatapungua sana, hivyo uranium itahitajika sana kwenye production za umeme. Canada wana reserve kubwa ya maji na wanataka iwe hivyo, so issue za global warming kwa wanaona zitawaathiri kwenye mambo mengine lakini siyo maji.
Sijaona, na halijawa wazi swala zima la uranium, so kama kawaida we have experience from previous dubious contracts so, hata hii yatakuwa yaleyale.
Mimi siyo mtaalamu wa hayo, pengine nikashafanya kazi kwenye hii migodi I may say something.
tuamke
waberoya