Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA ni kamati

Kimetah

JF-Expert Member
May 8, 2013
1,049
188
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni

1. Lissu
2. Msigwa
3. Nyalandu.

Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?
 
Chadema wanapoteza muda ingawa ni haki yao kikatiba.

Chadema wangeweza kuwekeza huo muda na rasilimali kwenye mambo mengine.
 
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.

Twende na ndugu Membe...CCM
 
Manahangaika sana!
Chadema ni yetu sisi wazalendo.Nyie CCM manaye Magu wenu .Shida ni nini?
 
Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....

Ndiyo maana Wewe Malaya wa kisiasa huiwezi CHADEMA!.Sikiliza mnaye mgombea wenu kinacho mwenye sera za kutosha .
 
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?

Hapa umeandika utoto gani we dogo?
 
Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....

Utakuwa ni uzezeta kama ww unajijua ni ccm alafu ukawaunga mkono cdm ww unga kundi lako na wao waunge kundi lao uoga wa nn?
 
Chadema wanapoteza muda ingawa ni haki yao kikatiba.

Chadema wangeweza kuwekeza huo muda na rasilimali kwenye mambo mengine.
Hii ni fursa ya wao kusema yale wanayotamani hata kama hakuna uwezekano wa kushinda huenda yale mazuri yenye tija yakachukuliwa na Chama kitakachoshinda na kutekelezwa; hivi unafahamu sera ya elimu bure CCM ilikuwa shule za msingi pekee lakini kutokana na ILANI YA CHADEMA kuweka Msingi mpaka Chuo kikuu ndio CCM ikaongeza wigo wa elimu bure hadi Form IV?

Acha wote wazungumze tuwasikie usipende kuwakatiza kabla hatujawasikia.
 
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.

Yapi maoni yako?
hata vipaumbele vyao vya nia havina ushawishi kwa wanachama wa kambi ya utawala,
Kabisa. Hoja zimefukiwa na JPM,wanatembea na vihoja
Chadema wanapoteza muda ingawa ni haki yao kikatiba.

Chadema wangeweza kuwekeza huo muda na rasilimali kwenye mambo mengine.
Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....
Nyie pimbi wa chama zee mnatokea mikoa ipi? Ile yenye wachawi wakubwa na umaskini wa kutupa? Manake huko ndio ngome za ccm zilipo.
 
Back
Top Bottom