Urais: Anne Makinda anafaa

Hafai yule,kwanza sio mkweli,alituambia kwamba rais amebariki posho kwa wabunge wakati sio kweli,pili hajaolewa,tatu ametumika sana hivyo akili imeshachoka,maana yupo bungeni kwa zaidi ya miaka 36,.hana jipya..tunataka chama kipya,sera mpya,mikakati na utendaji mpya,,

Mkuu hata mgombea wetu wa CDM ana asilimia 80 ya sifa hizi ulizozitaja, lakini hatuishi kumpigia chapuo hapa JF kila siku
 
1. Hana Kashfa, sio za kujilimbikizia Mali wala kashfa zingine za Maadili. Anajiheshimu
2. Yuko thabiti. Hayumbishwi, anasimamia anachoamini. Mfano mzuri ni jinsi anavyoliongoza Bunge
3. Ni mzoefu na mweledi wa mambo ya kiserikali, amekuwa Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mbunge wa siku nyingi, ameongoza kamati mbalimbali za Bunge na sasa ni Spika
4. Ni mjuzi (mweledi)wa maswala ya uchumi wa ndani na wa kimataifa(uchumi wa dunia)
5. Msomi mzuri tu na mcha Mungu
6. Kiungo kizuri cha watanzania wa dini rangi na itikadi zote

Nawasilisha

Hiyo ni negative hebu safisha uone picha
 
Watanzania hatutaniwi.... unaweza shangaa anachaguliwa kweli!!! Kwani nani alijua ataukwaa uspika?
 
Watu wakila miharage usiku ni..................................kulaladek, hata aibu hakuna
 
kama makinda akiwa rais mi naenda kugombea urais wa marekani kudadadeeeki
 
Hapa issue ni record yake kiutendaji....
dola-jk.jpg
 
Hili ni tusi zito la nguoni kwetu sisi watz. Mwandishi tuombe radhi haraka sn.
 
Hivi kwa nini sijawahi kusikia kama huyu mama ana mume? Kama anashindwa kusimamia taasisi ndogo tu ya ndoa ataweza kweli kuongoza Watanzania milioni 46? Hata hivyo huyu mama ni debe tupu kichwan;i mweupe mno hawezi kuwa rais wa nchi labda awe rais wa kijijini kwake kama watamkubali.
 
Ole wao wote wanaopenda kuchukulia mambo kimzaha mzaha.
Tangu nikue na kuwa na akili timamu nimetambua kuwa lolote laweza kutokea ktk Tanzania muda wowote.Bila shaka hayupo kati yetu aliyejua ipo siku mama Anna angekuwa spika wa bunge letu.
Pamoja na uwezekano,japo kwa sasa ni mdogo,wa NEC ya CCM kumpitisha kama mgombea wake,lipo tumaini na hatuna sababu ya kukata tamaa maana tayari kipo chama mbadala , kilichosheheni wapiganaji wa kweli,chenye kukubalika kwa wananchi,na yeyote mwenye akili timamu anakifahamu na kitatuepusha na fedheha ya kuongozwa na Anna.
 
Back
Top Bottom