Mkuu Mag3, kwanza tukubaliane yafuatayo...
- Chama ni wanachama wenye lengo moja na nia moja, hivyo chama sio jina, jengo au mtu!. Chadema sio ZZK, Mbowe au Slaa, its more than that!. Kuna manazi wa Chadema, kwao Chadema ni "watu" na hao watu kwao ndio lazima wawe wao, kama sio wao basi hakuna wengine!, hakuna chama!.
- Chama cha kidemokrasia ni kile kinachofuata misingi ya demokrasia vs misingi ya kidictator, Chadema ni chama cha kidemokrasia na kinahubiri demokrasia, kinawajibika ku practice hiyo demokrasia kuanzia ndani ya chama ndipo kije kwenye nchi, "practice what you preach"!.
- ZZK ametangaza nia ya kugombea kwa mujibu wa haki zake za kidemokrasia kama mwanachama mwingine yoyote, hajavunja sheria yoyote!, hajakiuka kanuni yoyote!, wala taratibu zozote za chama!. Unless unieleze sheria, taratibu na kanuni za kutangaza nia Chadema zikoje?.
- Pamoja na umaarufu wote wa Chadema, Chadema kama chama, kilipaswa kuongozwa na viongozi wakuu 4. viongozi wakuu 4. Mwenyekiti, M/Mwenyekiti, Katibu Mkuu na N/Katibu Mkuu!. Ila kiukweli Chadema inaongozwa na viongozi wawili tuu, and infact kiukweli inaongozwa na kiongozi mmoja tuu!, huyu mwingine ni follower tuu hawezi kumbishia lolote kiongozi wake as a result, Chadema kinaendesha "politics of confrontation" as if kinataka kuchukua nchi kwa mapinduzi na sio kupitia ballot box!.
- Nilipo andika "Chadema haijajipanga", nilisema "Chadema Peke yake haiwezi"!. Kiongozi mkuu wa Chadema ni kama mjeshi, yeye anaamuru mashambulizi tuu, ni confrontations tuu badala ya co-oparation!, Ndio maana maandamano na mikutano ya hadhara na misuso ni mtaji mkubwa kwenye M4C.
- Uchaguzi wa 2015 ni vita kubwa kati ya waliopo CCM ambao wajajipanga kuwa ving'ang'anizi, na Chadema wanaotaka kuwapokonya. Ili Chadema ishinde vita hii, si lazima itumie jeshi lake kwa kulisongesha mbele kushambulia adui kwa mikutano na maandamano tuu, linahitaji sio tuu kamanda muamrishaji "shambulia!, shambulia!", bali linahitaji kama strategist, na "tactician" atakayetumia tactics kushambulia na sio kuwaswaga tuu wanajeshi wake!. ZZK ndie strategist na tactician, waliopo wana wa swaga tuu kushambulia!.
- Ili Chadema ishinde vita hiyo, inahitaji, ushirikiano na umoja ambao ni nguvu!, Ili Chadema ishinde, inazihitaji kura za CCM, za CUF za NCCR Magauzi and the like. Viongozi waliopo wanashadadia zaidi "confrontation" kushambulia tuu, ili kumuangamiza adui CCM badala ya kumbadili mawazo na kumu integrate huyo adui ili umtumie for your own good use!, ambapo ni ZZK pekee ndiye mwenye "spirit ya umoja ni nguvu"!, anaweza kuzivuna kura za CCM, CUF na za Chadema zenyewe kwa kuihesabu CCMna CUF kama washindani na sio maadui!. Hii "compromising" position ya ZZK ndio inamfanya aonekane "msaliti" kitu ambacho sii kweli!.
- Katiba iliyopo ina mapungufu kwa kutoweka "quoter" system ya ushindi, hivyo chama kinaweza kuuchukua ushindi wa kutawala Tanzania bila hata ya kura moja kutoka Zanzibar, hivyo kuitawala Zanzibar kimabavu!. Chadema wajiandae kwa katiba mpya itaweka kipengele ili chama kishinde kihalali, lazima ushindi huo ujumuishe angalau theluth moja ya kura za visiwani!. Bila ushirikiano na CUF, sio jinsi yoyote mgombea wa Chadema asiyetaka ushirikiano, atakavyoweza kuvuna theluthi moja ya kura za Zanzibar zaidi ya ZZK!.
- Ili ushindi wa 2015 upatikane kwa Chadema, "lazima" (nasisitiza) "LAZIMA" (with no posibility ya any option), Chadema iendeshe siasa za "ukweli" "the politics of truth"!, kwa kukukubali ukweli kuwa CCM ipo, na kuna vitu CCM imefanya ambavyo vinaonekana wazi with naked eyes, na kueleza Chadema wao wakija, watafanya nini tofauti, na sio kulaumu na kushutumu tuu mwanzo mwisho!. ZZK is the only one mwenye kuliweza hili kutokana na kuendesha siasa za ukweli kwa kutumia "Nguvu za Hoja" vs "Hoja za Nguvu"!.
- Chadema kama chama, kinapaswa kionyeshe ukomavu wa demokrasia ndani ya chama kwa ku encourage all hopefuls wa nafasi zote kuanzia serikali za mitaa, udiwani, ubunge hadi urais, kujitokeza kwa vingi ili sio tuu kuwapima, bali pia kuwa groom and get the best out of them!. Nia ya ZZK needs support ana uungwaji mkono na Mbowe na Dr. Slaa na kuencourage wengine wengi wajitokeze, badala ya hatua hii ya muasisi kumyooshea ZZK accusing finger, ila pia ZZK anahitaji busara japo kidogo tuu asijibishane na wazee wake!.
Pasco.
umeeleza vizuri sana na kwa hekima kubwa sana ila umesahau ishu ndogo sana...kutangaza nia kwa zzk kwa kipindi hiki ambacho chama kinaangaika kujijenga ni kudhoofisha chama kujijenga, mentally people will shift towards election...itasaidia nini zzk akiwa raisi huku ana wabunge 10??? Atatekeleza ilani ipi kama sio ya ccm??? Ishu ni right thing at a right time. Narudia : wakati wa msiba tuomboleze kama familia wakati wa sherehe tusherehekee kama familia. Ishu sio tuu kushika dola...ila pia ni kutawala