lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,116
- Thread starter
- #81
Mdogo wangu lara 1,
Siku zote huwa sithubutu kumhukumu mtu, ila hujaribu kuangalia pande zote mbili za shilingi..
Kujua nani ni rafiki mzuri, itategemea uko upande gani...
Kwa wale washabiki wa kupoza kiu, watakuona wewe mbaya kwa sababu unamzibia jamaa asipate kitu roho inapenda kwa kumbana kwenye kona kali muda wote...Ila wale wenye mtazamo kama wako, watakuona wewe mzuri kwa sababu unamkinga dhidi ya mashambulizi ya watafutaji....
Je, ni vizuri kumkinga mtu au kumwacha ajilie kwa raha zake.....??
Babu DC!!
Hahahaaaaaaaaaaaa! Babu weeeee Mbayaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!(In joti's voice) Asprin angsema mi mbaya tu!!!!!! Kweli babu hapo inategemea uko kambi ipi? Ya Masalia au ODM!!!!!!?
Last edited by a moderator: