Rafiki yeyote ulonae mara nyingi behaves kwako vile umruhusuvo wewe....
Ukitaka akupande ni wewe... ukitaka akuheshimu ni wewe.... So man up kama anakuboa mwambie.
Acha uchoyo na ubinafsi,halafu nahisi huyo rafiki ni wa jinsia yako maanake ingekuwa ni jinsia yenye negative na postive wala usingelalamika,tena we ndo ungekuwa unambembeleza umpeleke sehemu yoyote anayotaka.
huu unafiki si umwambie tu, mie ndio nashangaa mtu kutu hupendi unagugumia tu rohoni ya nini, ila mshikaji acha uchoyo. kumbuka leo wewe kesho yeye, maisha haya yana mambo sana
usijali, ukilizoea hilo gari utaona kawaida tu kutoa lifti. si unaona hata ukifika kwenye bumps unahisi kama unalionea eeh? ur 2nd car na kuendelea utakuwa unaburuza tu!
usijali, ukilizoea hilo gari utaona kawaida tu kutoa lifti. Si unaona hata ukifika kwenye bumps unahisi kama unalionea eeh? Ur 2nd car na kuendelea utakuwa unaburuza tu!
Jamani si roho mbaya; unajua sometime mtu anahitaji muda wa kuwa peke yake na muda mzuri ni kwenye Gari! Pia when u don't feel like talking lazima uongee tu!
Mwaya Mcfee; u r not alone n u r not the worst person in the word! Ila huyo mtu mwambie ili usisononeke; when u feel like helping do it kwa moyo mkunjufu, don't do because u r expected to! Kwenye magonjwa na shida say mvua u r obliged!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.