si kila mtenda mema ni mchamungu,bali mchamungu hutenda matendo mema.ukiwa mchoyo usiwe mroho

Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..

Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"

Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..

Wow like that..jaman I was just introducing myself here..you know am new so I was just gettn it started..don't quote me wrong plzz.

Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..
Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"
Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..
Jamani nilikuwa najiintroduce hapa ..c unajua ugeni inabd utafute sthn unique kupata wafuasi..!!! Don't quote me wrong plz..
Wacha ni declare interest..
yaani wewe lol....
Una kashfa wewe lol

Hata kama ni mgeni ndo uje na story hizi

Inaonekena kweli ni katabia kako una kauchoyo hata kwa rafiki zako
unajua kuna uchoyo na usimangaji! aisee, sipendi tabia ya kumsimangia mtu. hawa ndo ukiwa na ndugu anasema koridoni 'choo kinajaa siku hizi' japo anawalisha ugali wa mbegu! muache bana, wallah gari ya pili na ya tatu ataona kawaida tu! unakumbuka ur 1st new pair of shoes? ama kompasi ulivyolipamba na sticker,lol!

Acha roho mbaya...eti mpaka anafanana na wewe.Kama hutaki kumpa hiyo lift siumwambie tu badala ya kuumwa roho akiwa amekaa kiti cha pembeni...
amesahau kuwa ngazi iliyompandisha juu inamngojea pale pale imshushe down.
Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..
Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"
Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..

uchoyo huo na hasa ni tabia ya maskini aliyepata

Hata kama ni mgeni ndo uje na story hizi

Inaonekena kweli ni katabia kako una kauchoyo hata kwa rafiki zako
Kauli za walala hoi

Wasema wewe