Upweke unanimaliza, naombeni msaada

Pole mkuu, I once lived without work, child, wife, house, money for a year, as l write now it is three years back and l am having all of the above with a son! Be courageous God is good!
Umenitia moyo sana mkuu I believe one day God will make a way
 
Pole sana. Ila kwa ushauri wangu usijaribu kutafuta mtoto au mke wakati maisha yako mwenyewe yanashindikana kuyaendesha. Kama ulikulia kijijini au umewahi shika jembe, jaribu kilimo cha bustani. Kinalipa
Wala sijasema natafuta ila nasikitika kutokuwa na uwezo wa kumiliki kutokana na hali ya maisha
 
Kwa mwanaume hiyo ni kawaida tu. Endelea kukomaa mtu wangu uswe na aibu wala usiogope kuwajibika mzigoni.
Ila tu usifanye maamuzi ya kupata mtoto kwa sasa mambo yatapandiana juu kwa juu
 
Wala sijajitenga mkuu ila si mara nyingi najichanganya maana waweza mwambia mtu tatizo lako akawa anakucheka badala ya kukusaidia, nowadays binadamu wamepoteza utu

mbona hata hapa bado waongea na watu wale wale?, huwezi kukosa kabisa mtu anayefahamu vyema mazingira ulonayo na akawa radhi kukusaidia. Msaada mkubwa unaanza kwa watu wako wa karibu,hapa tunakupa maoni tu ila ukiamua kuyafanyia kazi lazma urudi kwny jamii yako
 
pole sana mkuu..

mimi nilifanyaga maamuz magumu, nilipiga madem wawili mimba kwa nyakati tofout, sasa hv wana watoto, mmoja wa kike na mwingne wakiume,
ila niliwafungia vioo, mpka nipate kazi, baadae nitawarudia wanangu..
ila huwa naomba Mungu anisaidie katika hili...
 
Pole mkuu. Ila hauko peke yako tupo wengi tu katika tabaka tofauti. Kuna walio na kazi lakini ni wapweke kabisa. Kuna wenye familia na watoto mambo safi but still wapweke tena sana. Na kuna single mothers wanakazi na kila kitu bado ni wapweke. Kikubwa ni kujichanganya na vikundi vya michezo na groups tofauti. Tafuta kazi hata kama ni ndogo. Siku hizi watu wanaanza kwa kujitolea. Usife moyo
 
Nilipomaliza chuo nilijitolea sana mwishowe nikaona sipati kitu nikaamua kuacha
 
Mmh
Pole mkuu. Ila hauko peke yako tupo wengi tu katika tabaka tofauti. Kuna walio na kazi lakini ni wapweke kabisa. Kuna wenye familia na watoto mambo safi but still wapweke tena sana. Na kuna single mothers wanakazi na kila kitu bado ni wapweke. Kikubwa ni kujichanganya na vikundi vya michezo na groups tofauti. Tafuta kazi hata kama ni ndogo. Siku hizi watu wanaanza kwa kujitolea. Usife moyo
Mmh una moyo kaka, then mie mwenyewe sipendi nimpe mtu matatizo maana bado sijiwezi better to be alone
 
wasomi mna akili sana hizo zinawa cost ndege hawalimi je walikuja kulia njaa kwenu?mtaani hapo kwenu kuna darasa la saba wangapi mbonA wameoa wana watot?kazi zao ni kubeba zege?kuchimba mashimo ya choo tena kwa msimu mbona watoto wanaishi?mnajidanganya wanawake wanataka pesa mbona maskini wameoa tena wanawake wazuri tu?mwanamke antk mtu mwenye future na wakueleweka...ww una degree ..nn umekosa km std 7 wameoa?sina hela ya familia,uliwezaje kusoma ukamaliza?elimu inawafundisha kufikiria na kutoa majibu hapo hapo,mambo hayo sahau kwenye maisha...untk mwanamke sio level zako bado hakupendi utamuwezea wapi ewe kapuku?kwa huo huo mshahara wa kuungaunga oa mwanamke anayeelewa sera zako na hali yko,akili ya majukumu ikija bas ushatoka ...achana na akili za darasani unapata mia darasa kwenye maisha unapitwa na darasa we zezeta sasa
 
Back
Top Bottom