Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,718
- 5,086
Ni kinyaa tupu. Ndiyo maana inasemwa "women are nature, men are culture".
Hakuna mwanamke wa mtu mkuu set akili yako hivyo kwa faida ya afya yko ya akiliUnaruhusu vipi mwanamke wako anapiga picha za kipuuzi hivyo.
Hapana, cha 90s😁😁😁😁😁😁Wewe Ni kizazi Cha 2000s
Mtu nyikani(porini) avae nguo za nn ukijua muda wooote ni yeye na misitu ,vichakaDah zirudi hizi zama tunakosa mengi sana kwa mpigo yenu mnayovaa saivi yani hadi unamaliza kumvua demu huuuf!!! Kijasho kinakutoka mtu mzima
View attachment 2484478
Hebu cheki walivyopendeza kweli vya kale ni dhahabu
View attachment 2484479
Zama zirudi hizi hahahaaa
View attachment 2484480
View attachment 2484482
Eeeh! watoto wanarogwa tena😲😲Waendelee,ndo maana tunazaliwa tutoto tumesharogwa mno😝
😂😂😂hayo maisha yalikua ya furaha sana na amani kuliko hii karne tuliopo naona imezidi kuwa kizazi cha laana kadri tunavyosonga mbele...
Mtu nyikani(porini) avae nguo za nn ukijua muda wooote ni yeye na misitu ,vichaka
Hivi mnavaaga hivi vyote kwa wakati mmoja kweli!..😳😳😳 hadi hiyo shumizi hii simnavaa wakati wa kulala na zilikua zamani kidogo early 80’s nilikua naona baadhi ya wa mama asubuhi bado wamevaa na kujifunga kitenge kiunoni huku wakiendelea na usafi 🤣🤣🤣🤗Wacha wee,,,hao ndio African!sio siku hizi mtu huyohuyo mmoja chupi,skin tight,shumizi,sidiria,gauni lenye lining kwa ndani na hili joto Sasa weweeeee kijasho chake!😁
Kujiendekeza,.
Mjamzito anaweza fanya chchte cha ajab hvyo sishangai
Mkuu,
Utupu ni nini? Tuanzie hapo kwanza.
Swaziland wanawake wanatembea matiti nje, ni utamaduni wao, je, na wao wanatembea utupu?
🤣🤣🤣🤣Eeeh wewe unazijua shumizi,Kuna watu waume zao wakali lazima wavae hizoHivi mnavaaga hivi vyote kwa wakati mmoja kweli!..😳😳😳 hadi hiyo shumizi hii simnavaa wakati wa kulala na zilikua zamani kidogo early 80’s nilikua naona baadhi ya wa mama asubuhi bado wamevaa na kujifunga kitenge kiunoni huku wakiendelea na usafi 🤣🤣🤣🤗
Jamii masikini zimejikita sana katika mambo ya kulinda aibu za wanawake, kulinda bikira etc.Nafikiri tutapoteza sana muda kuulizana maswali ya aina hiyo.....mi kwa sasa nakaribia miaka 30, sasa nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nilikuwa napenda sana nikiingia mtaani nikutane na wanawake wakiwa na nguo za ovyo, na nilikuwa nafurahi sana kuona baadhi ya maungo ya wanawake yakiwa nje nje...
Kwa sasa naanza kuona ni Jambo la aibu sana kwa mwanamke kuvaa nguo ambayo asilimia kubwa ya mwili ipo nje, sasa najiuliza, kuna uwezekano we una miaka zaidi ya 40, sasa inakuwaje bado unaona ni poa tu mwanamke akiwa na mavazi ya nusu uchi Kisha akapiga picha na kupost?
Je, ungependa uone binti yako apige picha ya hivo, vipi mkeo nae, vipi mama yako? Ungependa kuona wat
u hao muhimu kwako wapige picha za kujidhalilisha au unapenda uone za watu wengine na si hao!?
Acha upumbavu na fikra potofu wwMimi naona mnawanyanyapaa wanawake tu.
Wakuu mkitaka kuishi kizamani mtaweza kuacha kuingia JF?
Maana JF nayo zamani haikuwepo.
Hii hoja ya "zamani ..." haina mashiko.
Zamani kulikuwa na utumwa na ukoloni.
Mnataka kurudisha utumwa na ukoloni pia?
Hao wanawake wanaweza kusema hawako uchi, nyie ndio mna mawazo ya kizamani ya kuona mwili wa mwanamke karibu wote ni uchi. Nyie ndiyo mna matatizo, si wao.
Wanaweza kusema mimba ni kitu cha kawaida, karibu kila mtu kaja hapa duniani kwa mimba (unless you are a test tube baby).
Wanaweza kusema mimba ni kitu cha neema, kitu cha baraka, kitu cha kusherehekea, kwa nini mnawasimanga kwa jambo la heri?
Yani wanaotoa mimba mnawasema vibaya, na wasiotoa mimba wanao promote kuzaa nao mnawasema vibaya pia?
Hivi mnajua hawa wanawake wengine wanatamani sana mimba, wanaona fahari sana kupata mimba, na wanataka kutangazia dunia wanavyojisikia raha kuwa na hizo mimba?
Kwa nini mnataka kuwakatili katika furaha zao?
Sasa mwanamke kuonesha mimba tatizo liko wapi?
Kama hupendi kuona hizo picha, usiangalie tu.
Kwani umelazimishwa kuangalia?
Wewe una upumbavu zaidi tena wa kizembe, kwa sababu hata hujaweza kusema upumbavu wangu ni upi.Acha upumbavu na fikra potofu ww
Watu wanataka kuishi maisha ya kuwa control wengine, wakati hata maisha yao wameshindwa kuya control.Acheni ujinga wa kufatilia maisha ya watu...
hizo picha mnalazimishwa kuangalia?
acha wafurahie mimba zao.
Mambo ya kulazimishana tamaduni ni ujinga na ujima.
Ishi maisha yako.
Mkuu, jamii zetu bado zinaishi kijima sana.Watu wanataka kuishi maisha ya kuwa control wengine, wakati hata maisha yao wameshindwa kuya control.
Yani mimi niache kufanya kazi zangu, nihangaike na wanawake nisiowajua kwa sababu wamepiga picha za kujifurahisha na vitumbo vyao?
Tena mwanamme mzima?
Si ndio mwanzo wa mwanamme kuambiwa unawaonea gele wanawake, ulitaka wewe upate mimba!
Ukiuliza hayo maadili tulikutana lini tukakubaliana, hakuna anayeweza kukupa jibu la kueleweka.Mkuu, jamii zetu bado zinaishi kijima sana.
Mtu anataka kuingilia maisha binafsi ya mtu mwingine kwa kigezo cha maadili na kulinda utamaduni!!
Damn it!
Hahahahahahahhaahhahahahha hzo chuchu sio za kitanzaniaDah zirudi hizi zama tunakosa mengi sana kwa mpigo yenu mnayovaa saivi yani hadi unamaliza kumvua demu huuuf!!! Kijasho kinakutoka mtu mzima🤣🤣🤣🤗
View attachment 2484478
Hebu cheki walivyopendeza kweli vya kale ni dhahabu😂😂😂
View attachment 2484479
🤣🤣🤣🤣 Zama zirudi hizi hahahaaa
View attachment 2484480
🤤🤤🤤🤤
View attachment 2484482
😛😛😛😛