Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,048
36,033
Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana.

Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo.

Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na bwana Shaka Ssali:




Baada ya kumalizana na Lissu, Shaka aliongea baadaye na Prof. Lumumba bila ya Lissu kuwapo:




Kumhusisha Lumumba na Lissu au vice versa ni upotoshaji wa wazi wenye kukosa mashiko.

Ni wazi kuwa Shaka alihoji na kujibiwa kila alichohitaji majibu akiheshimu kikamilifu mitizamo ya kila mmoja.

Hapakuwa marumbano yoyote katika mazungumzo hayo.

Kwamba nani kamfunda nani? Wajameni wapi kulikuwa na kufundana?

Hiiii!
 
Bora useme

Pana katabia ka MATAGA kakupotosha vichwa vya habari wakiamini kuwa wengi wanasoma vichwa habari na kuanza kutema comment s tu.

Kama hawa hapa:


Kichwa na contents tofauti.
 
Mbeligiji, akili zake sio zile tena za kabla ya kujeruhiwa kwake,

Kuna Yule wa awali kabla ya tukio lililotokea makao makuu pale, huyo alikuwa kichwa haswaa!!

Huyu wa leo wa Ubeligiji, ni empty, hamna kitu tena!!!
 
Thanks kwa kubalance hii taarifa iliyopotoshwa sana mitandaoni

Mkuu angalia hii:


Soma title kisha ona contents nyani wale wale pori jipya.
 
Mataga wa lumumba ndiyo waliokuwa anamwaga uongo huo hapa jamvini

Waone hapa pia:

 
Pana katabia ka MATAGA kakupotosha vichwa vya habari wakiamini kuwa wengi wanasoma vichwa habari na kuanza kujitegemea comment tu.

Kama hawa hapa:

Sema huyu jamaa sio mataga
 
Back
Top Bottom