upo!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
habari za nyinyi humu ndani vipi wazima wote? Mi leo nipo so weak and mpaka sasa nimelose apetite im praying irudi haraka nikale jamani. Nimewakumbuka tuu na kama kawaida ya bebe kutoa salamu si tatizo kwangu.hope upo okey
 
Haaaaa we kila siku salamu!! kama huna cha kuandika piga kimya ......unajaza seva.
 
Kwan tatizo lako ni nin kila siku unaonaga ninachopost we vipi kwan lazima ujibu humu kaa pemben vilevile server server kuwa wewe basi kaona mi nafaid.we mwenyewe huna jipya hapo unakazi ya kuvizia vya watuili utoe yaliyo moyon. Siku njema bwana wewe nani tena aaah maproso salamu zao
 
Basi basi beibe nasty ukisema maneno yote yataisha bhaana halafu kesho utakosa maneno!! .......usiku mwema nani vile?
 
Last edited by a moderator:
habari za nyinyi humu ndani vipi wazima wote? Mi leo nipo so weak and mpaka sasa nimelose apetite im praying irudi haraka nikale jamani. Nimewakumbuka tuu na kama kawaida ya bebe kutoa salamu si tatizo kwangu.hope upo okey

Wewe je..!
 
Kwan tatizo lako ni nin kila siku unaonaga ninachopost we vipi kwan lazima ujibu humu kaa pemben vilevile server server kuwa wewe basi kaona mi nafaid.we mwenyewe huna jipya hapo unakazi ya kuvizia vya watuili utoe yaliyo moyon. Siku njema bwana wewe nani tena aaah maproso salamu zao
Khaa! Kumbe huwa unakuwa mbogo namna hii beibe? Mngekuwa face to face maprosoo angeshaa leo!
 
Hamna king maprosoo kanikwaza n idont entertain makwazo yekama halikua hatak salamu yangu angepotezea tuu kwan unadhan wengne hawajaiona hii mada yangu ya salam bt si wameamua piga kimya bt yeye tena kajiona mwamba geu sijui moto kujitutumua mbele ya beibe.. Imic u kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom