Upinzani unakufa kila kona ya Tanzania - NAPE

BAdo naendelea tu na utafiti wangu, Wanaume wenye makalio makubwa akili zao mara nyingi hua chache na ni wepesi sana wa kusahau! Naendelea kulifanyia utafiti hilo kwanza.
 
"NIMEPATA BAHATI YA KUZINGUKA PAMOJA NA KATIBU MKUU NDUGU ABDULRAHMAN KINANA NCHI NZIMA, NIMESHUHUDIA KWA MACHO YANGU KUWA UPINZANI UNAKUFA KILA KONA YA TANZANIA" - NAPE MOSES NNAUYE, uwanja wa Barafu, Dodoma.

Maneno hayo ni nukuu ya katibu wa halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa Chama bora Tanzania CCM alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana katika Viwanja vya barafu vilivyopo Dodoma mjini, pembezoni mwa uwanja wa mpira wa Jamhuri.

Nape ametoa ushuhuda huo akiwaasa baadhi ya vijana na wananchi wa Dodoma ambao bado wanadanganyika na maneno ya uzushi na uongo wa upinzani ambao wanautunga kila asubuhi, Nape amesema kutunga uongo dhidi ya CCM na Serikali yake ni kutapatapa kwa upinzani ukiwa unakata roho.

Nae Katibu Mkuu katika Mkutano huo wa hadhara, amesema wajibu wa CCM ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maisha bora, asema miaka ya hivi karibuni watanzania wameshuhudia maendeleo makubwa na kupiga hatua kubwa katika elimu, miundombinu ya barabara, madaraja, teknolojia na nishati.

Kinana amesema ni kazi ngumu kutenda rahisi kubeza, kazi ya CCM kutenda kazi ya upinzani ni kusema. Asema tumefanikiwa katika shule za UPE ambazo zimetoa mabalozi, mawaziri na wakurugenzi wakubwa ingawa wakati zinaanzishwa zilibezwa kama zinavyobezwa shule za Kata lakini zinatoa vijana wanaojiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini na tutapata wataalamu na wazalendo wa kweli kutoka shule za kata ingawa wapinzani wanazibeza.

Ahh kumbe ni mzee wa mtindio wa ubongo ndio kasema haya?! basi sina shida naye muache tu anatafutia familia mboga.....
 
MITAA 38 kwa 5 sumbawanga ni TAIRA TU ANAEWEZA kuamini upinzani unakufa tumwombee ashuhudie ulawa ikiingia magogoni SLAA akila kiapo yeye awe ana deki lumumba
 
Prettyspicey Benazir,

Si vizuri kujifanya umepoteza kumbukumbu kwa kile unachokifahamu vizuri

Tangu asubuhi kazi yako ni kunizushia na obsession zako tu.What's wrong with you?

I have courage,patience and determination to see it through.

..but one thing for sure as long as people read and not only entertained but touched ,I 'll keep writing,I'll keep the fight on...

Good evening!

Atakuwa anakutaka huyo, mfanyie hisani bro
 
Niliwahi kuwakuta vijana wa bavicha siku moja wakijadili jambo kuhusu wewe, na baadhi yao wakasema kuwa wewe ni jembe lao katika kujenga hoja jf na hivyo unafaa kuwa kiongozi wao mkubwa ndani ya bavicha..

Samahani kidogo ndugu yangu..,hizo hapo juu ndio hoja zenyewe ambazo ndizo zilikuwa mtaji wako wa kisiasa wakati wa uchaguzi...??
Ben Saanane ulipiga hii mashine??
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana ni lugha za kisiasa ambazo sisi tusiokuwa wanasiasa hatuzielewi. Lakini hali halisi haioneshi kuwa upinzani unakufa nchi hii labda kama upinzani nao una maana tofauti kwenye siasa za Nape na wenzake.
 
"NIMEPATA BAHATI YA KUZINGUKA PAMOJA NA KATIBU MKUU NDUGU ABDULRAHMAN KINANA NCHI NZIMA, NIMESHUHUDIA KWA MACHO YANGU KUWA UPINZANI UNAKUFA KILA KONA YA TANZANIA" - NAPE MOSES NNAUYE, uwanja wa Barafu, Dodoma.

COMICAL NAPE i.e Nape Mchekeshaji compare with Comical Alli former Saddam Minister for information
 
Nape kama kada wa CCM analo jukumu la kusema zuri kwa CCM. Hajatenda dhambi na amefanya kazi yake inavyopaswa. Nampongeza sana. Wapinzani msimuone chizi, la kufanya ni kuonyesha alichosema si kweli kama aliyeweka picha ya moja ya mikutanomya CHADEMA Tabora. Pia Matokeo ya uchaguzi wa marudio wa Serikali za mitaa Sumbawanga. Asitukanwe ila ajibiwe kwa hoja.
Kumbukeni yy hafanyi tafiti, anaona wale wanaokuja kwenye mikutano ya CCM tu.
 
Aisee upo nilitegemea utapewa ukuu wa wilaya au Bado mpaka mwishoni mwishoni. Jitahidi labda watakukumbuka
 
Aisee upo nilitegemea utapewa ukuu wa wilaya au Bado mpaka mwishoni mwishoni. Jitahidi labda watakukumbuka
 
Aende kigoma ajaribu kuongea hizo pumba aone. Watu wameamka taarifa ya habari kama burudani vile, yaani watu wanavyojaa kwenye vibanda umize, halafu uongee hizo pumba watakutimua Nape.
 
Nape na Kinana siku hizi wanatembea na fisi angalau kuwavutia watoto waende kwenye vikao vilivyosusiwa na watanzania waliojitambua

Uchaguzi serikali za mitaa, mtaani kwetu walipanga kuanza mkutano saa kumi kamili jioni, lakini mpaka saa kumi na moja hakukua na wananchi licha ya kuja na wacheza ngoma maarufu kama dogoli.
 
Hivi nyie watu ubongo wenu umemwagiwa gundi au! Mbona mko sloo sana kufikiri na kusoma alama za nyakati??. Takwimu za hapo juu nina mashaka nazo, ila ngoja nizitumie kukuelewesha, maana yaonekana ni mgumu sana kuelewa!
Kama chaguzi za 2009 mlishinda zaidi ya 90%, leo imeshuka mpaka 85%, unasemaje hapo kuwa upinzani unakufa????
Una maembe mia, ktk tembea tembea yako unadondosha maembe mazima 20, mwenzako aliye nyuma anayaokota na kuondoka nayo, alafu wewe unakuja sema bado haujapoteza maembe mengi wakati kama ukoo wako una watu 25 na kila mmoja alikuwa anakula maembe 4 ili ashibe sasa inabidi baadhi ya wanaukoo wale maembe machache sababu ya maembe uliodondosha, huoni kuna hitilafu hapo?
Jipangeni, acheni kujipa moyo pasipo na ukweli.

Upo sahihi increasing at declining rate sio nzuri kuanzia kwa mfugaji hata mfanyabiashara. Kama mifugo yako inakua kwa style hiyo wataalam tunakushauri bora uuze tu. Sasa hayo ma wao wao m sijui tuyashaulije?
 
Leo nimepata taarifa kuwa jimboni kwa Lusinde CCM imeshinda kwa asilimia 98...sasa hapa kuna ubishi gani kuwa Upinzani unakufa..!!
 
Yeye anaangalia Upinzani wa wakati huo,Nape akumbuke kuwa mbegu kabla ya kuota ufa,na sasa mbegu imekuwa ina paa,ina paa!
 
Huyu naye akili yake huw inarudi rivazi kama gari? Au muhemuko wa chama chake na 6 baado unamsunbua.
 
Leo nimepata taarifa kuwa jimboni kwa Lusinde CCM imeshinda kwa asilimia 98...sasa hapa kuna ubishi gani kuwa Upinzani unakufa..!!

Mkuu wewe unaangalia kwa Lusinde tu?.....Tunacheza na no ya wapigakura bora ingenambia Nyamagana au Ubungo yenye wapigakura 400,000 au Mbeya.

Ila siwezi shangaa kauli za Nape maana ni mropokaji na hii ni matokeo ya elimu ya kuungaunga.
 
Back
Top Bottom