Jaman madaktar naomba niulize.Mke wangu alikuwa hedhi tarehe 12-16.Tareh 16 hiyo hiyo nimefanya nae mapenzi.JE ANAWEZA KUPATA MIMBA?Natanguliza shukrani kwa madaktar wa JF
uwezekano wa ujauzito ni mdogo sana (miraculously inawezekana), uwezekano wa kupata ukimwi upo tena mkubwa, unaombwa ukapime.
dah! kumbe ni waifu wake? basi huku kwangu inasomeka galifriend. khaaaa PC za mchina bana. sorry mleta mada usipime lolote bana waskuzingue, JF wazushi tu.Atapimaje wkt alye do nae ni mai wife wake??? Mke na mume c wanaaminiana?? Acha kumtsha mwenzio, by the way inaonekana anaogpa mimba kulko ukimwi!
hapana bwana alikuwa kamaliza.khaaa wewe umekula na damu yake,yakheeeee hunifai kua mkwe,inamana ikija ikaumwa tena hamu ikakujia utaomba siko,watu wa namna yenu hamukawi kupanda kitanda na viatu.