Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,513
Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja.
Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana kilichonifanya nije na huu uzi.
Nimeuliza wanawake zaidi ya 10 swali 1 ambalo ni
Je, Mpenzi wako akikosa mahari akaomba umsaidie kumlipia yani umpe hela aje kukulipia utafanya hivyo?
Kati ya wote waliokataa na kusema hawawezi ni 9/10 na katika hao ni 1/10 tu ndio ameweza kukubali kulipia mwanaume wake mahari.
Ukweli mahari ni jambo la mwanaume lakini hivi kama kweli lengo lenu ni 1,nia yenu ni 1 kuna shida gani mwanamke ukimsaidia mwanaume mahari au kumpa hela akakulipie kama Uwezo huo unao?
Imagine mimi ni kijana nina kauwezo kadogo namuoa mwanamke kama ZARI natakiwa kumlipia Mahari ZARI wakati uwezo kanizidi kila eneo hivi mapenzi hapa yako wapi?
Kwa upande wangu mahari ni sawa lakini wanawake wasioweza wapa waume zao mahari au wasaidia kulipa mahari sioni kama wanaupendo wanaweza badilika na kuwa chochote huko mbeleni.
Ni heri hawa wanawake wa Sogea Tuishi kweli wale wanaupendo lakini hawa wa Nenda kwetu kajitambulishe wanangu tunapigwa...
Sisapoti sogea tuishi ila nasema kwamba wanawake wanaopenda process zifatwe hawana upendo wa kweli kama wale wa sogea tuishi.
Kanitoleee mahari kama kweli unanipenda, siendi sasa. Majini nyie hamna upendo mnatuigizia.
shwaaaaaaa....