Upendo ulikuwepo?

Sep 16, 2014
48
5
Kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila hajanielewa kaamua kusema mi nawe 2meishia apa iv kwel uyu alikuwa ananipenda ama?
 
Kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila hajanielewa kaamua kusema mi nawe 2meishia apa iv kwel uyu alikuwa ananipenda ama?

Kosa ulilofanya ni kutompa taarifa mpenzio ya ujio wa huyo nduguyo wa damu, kupeana taarifa za matukio kwenye mahusiano ndo inaonyesha kumthamini mpenzio.
 
nilisahau kumtaarifu ila mi nilkuwa na mpenda ila mi kanishangaza mda mrefu 2mependana lakn kaj2 kadogo 2 aka ndo kamemfanya anikimbie nimemwambia aongee nae akakataa nam siwez mbembeleza nikaamua nimuache
 
Akimwaga mboga nawe mwaga ugali ngoma inakuwa droo apite kushoto ndugu n zaidi ya mpenzi achana naye fuc***k
 
Kosa ni la kwako kutomtaarifu. Na kama angechukulia sawa, ungetumia kigezo hicho siku nyingine kumleta msichana ambaye siyo dada yako na kusingizia ni dada yako.
 
kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila hajanielewa kaamua kusema mi nawe 2meishia apa iv kwel uyu alikuwa ananipenda ama?
mkuu samahani
hivi nyie wanawake wenu hua mnawaokotaga wapi?
 
Achana naye, nilishawahi kumtambulisha Mpenzi wangu kwa Dada yangu tena face to face na nikamwambia aje kumpa kampani na bado sikueleweka.....wakati dada yangu ni mkubwa na ni mtu mzima.
Mwanamke ingekuwa ni Mashine basi Ni Complex Machine. unachokichukulia poa ndiyo anachokomaa nacho and vis-versa is true.
 
Huyo alikuwa anakusubiria ulianzishe coz yeye mwenyewe ana mtu pemben sema alikuwa anafikiri ataanzaje kukwambia sasa ndo kapata sababu kuanza moja sio ujinga ila uwe makini uyo unayemtafuta usianze kumtangazia neema mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom