Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Kwa hiyo alitaka linunuliwe Kwa pesa zipi yy si alikuwa mwanachama? Huko CCM akiambiwa achange kwa manufaa ya chama hachangi? Kuna wakati unapoongea utafakari kwanza. Kwani viwanja vya mipira ambavyo CCM imefanya mali yake hatukutoa nguvu zetu?
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
MAHUSIANO YAKE NA DOTTO BITEKO NDIO YAMEMPEKEA KUENDA HUKO ?
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
La ccm limenunuliwa kwa pesa gani?
 
Toka aende CCM ametumika sana kama kiburudisho sasa wamemkinai hawana habari naye tena ndiyo maana ana msongo wa mawazo. Masikini amebakia komwe tu.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Alitaka linunuliwe na nini?
 
Hii sio habari.
Manunuzi yeyote yana chanzo cha mapato. Sasa kama CHADEMA walitumia vyanzo hivyo alivyovitaja kuna kosa au ubaya gani.
Huyo anefilisika, kamq ile show aliyotoa wakati ule kwa yule jamaa haikumsaidia basi aneishachelewa
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Amehama lakini anaumia sn kuona CHADEMA wapo kimya hawamjibu chochote
 
Back
Top Bottom