Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

..Upendo Peneza ni kati ya wagombea ubunge waliodhalilishwa kijinsia na wana-Ccm wakati wa kampeni.

..Sasa kitu cha ajabu Upendo Peneza amehamia Ccm. Bunge linajadili unyanyasaji wa kijinsia. Na mgombea aliyemnyanyasa Upendo yuko Bungeni.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Chadema ilimuamini ikampa ubunge akiwa na miaka 26 tu
 
Back
Top Bottom