Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

Kigezo cha elimu kingeanza na mwenyekiti wenu wa chama
Hebu nikumbushe elimu yake
OTIS

Wewe tumia akili je Mbowe ni viti maalumu mpaka nikupatie elimu yake? Lakn pia nilikwambia kigezo kingine ni kukaa chamani muda mrefu sasa unataka maelezo gani zaidi? Unapozungumzia wabunge vilaza na ambao hawajaenda shule wapo CCM tukianza na
1.Livingstone Lussinde
2.Prof Maji Marefu
3.Wadau watajazia hapa
 
Acha kulalamika ww, lete ushahidi kwamba Lissu alimpendelea dada yake. Usituletee hadithi za Sungura na Simba hapa.

Mkuu unataka nini zaidi ya maelezo niliyotoa ujue kuwa kuna ufisadi umefanyika chini ya Tundu lissu?
 
Wewe tumia akili je Mbowe ni viti maalumu mpaka nikupatie elimu yake? Lakn pia nilikwambia kigezo kingine ni kukaa chamani muda mrefu sasa unataka maelezo gani zaidi? Unapozungumzia wabunge vilaza na ambao hawajaenda shule wapo CCM tukianza na
1.Livingstone Lussinde
2.Prof Maji Marefu
3.Wadau watajazia hapa

Kwanini kigezo cha elimu kiwepo kwa wabunge viti maalum pekee?
Wasio na elimu wananyimwa haki ya kuwa wabunge
Huu ni uvunjifu wa katiba
Na kwanini kigezo cha elimu msiweke kwa viongozi wa chama mkianza na Mkiti?
OTIS
 
mat

Matusi ya nini mkubwa
Ada ya mja hunena
OTIS

unakera watu na thread za uchonganishi!huwezi kuweka thread ya kuelimisha umma au kujadili jambo la msingi lenye tija kwenye jamii??haya hii topic ina manufaa gani kwentu walalahoi!
 
Manufaa kwa walalahoi yapo mengi sana
Angalia ujambazi uliofanywa na cdm kutoa ubunge kama zawadi
Amka
OTIS
 
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe.
Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila ndani ya CDM
Zitto kabwe nae alipigwa sana vita baada ya kutaka kugombea uenyekiti wa CDM.Kiongozi wa shughuli hii alikuwa Mzee Mtei ambae ni mkwe wa Mbowe.
Kubebana huku kumeenda hadi CDM mikoa mingine.
Mathalani,Tundu Lissu alicheza kete dada yake akapewa ubunge wa viti maalumu.
Angalia vichekesho hivi.

1.Hawa ni ndugu wa damu,angalia majina yao
Tundu Mughwai Lissu na Christina Mughwai Lissu.

2.wote wamesoma wamesoma mahambe primary school.
Tundu,76-82 Christina kasoma 78-84

Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
CDM ina safari ndefu sana
OTIS
[/QUOT

bora umeliona hili.....subiri utaona zaidi 2015...kutakua na undugulism kuliko tunavofikiria....i love CDM ila wajioshe kwa hili mapema mnooooo.
 
Hakuna wanawake wengine wanachama wa CDM mkoa mzima wa Singida zaidi ya dada yake?
OTIS
OTIS Kumbuka kuwa CDM kwenda mikoani imepata umaarufu kipindi hiki hasa cha uchaguzi; hivyo chama kilikuwa hakijasambaa na kujikita kwenye mikoa mingine!!!!!!!! Kwa sasa hivi chama kinaenea maeneo mengine ya nchi yetu hadi Zanzibar kama wakubwa wataweka mkakati kitaenea!!!!!!! Kwa njia hiyo wanachama watakuwa wengi toka makabila mbali mbali watapata nafasi za uongozi, usiogope give them time to re adjust!!!!!!!!!! Ujumbe wako umewafikia wahusika!!!!!!!!!!!

Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
CDM ina safari ndefu sana
OTIS

Zamani nilidhani hii inferiority complexion ni tatizo kwa wanawake wenyewe tu, lkn nimegundua akiwa nalo mwanaume ni tatizo zaidi. Ndugu mwenye jina la OTIS, kuchaguliwa ubunge huanza na nia ya mchaguliwaji kugombea. Hiki ulichokiandika hapa, ni umbea uliotawaliwa na hisia za unyonge na ndio maana hakuna mfano/ushahidi uliotoa wenye kuonesha mazingira ya upendeleo badala yake unaonesha fulani na fulani ni ndugu.

Acha nikushauri kwa kuwa naamini bado una akili ya kuelewa ukiambiwa: NO INFORMATION, NO RIGHT TO SPEAK. Hii hoja yako ni ya ki-saluni saluni zaidi ndio maana umetumia hisia badala ya fikra. Kama dada wa Lissu ana potentials za kuwa mbunge wa viti maalum, kuwa kwake dada wa Lissu hakumzuii yeye kuwa mbunge. Ningekuona una akili angalau kidogo kama ungekuja na hoja kuwa, fulani hana uwezo wa kufanya shughuli aliyopewa lkn badala yake unaleta za kike-kike. Na ni dhahiri kuwa, lengo lako ktk kuyasema haya, haliko ktk kuusaidia upinzani, bali limelalia kwenye kutafuta sifa au umetumwa.

Kama wewe ni mwanaume jihadhari na kuongozwa na hisia.
 
Kwanini kigezo cha elimu kiwepo kwa wabunge viti maalum pekee?
Wasio na elimu wananyimwa haki ya kuwa wabunge
Huu ni uvunjifu wa katiba
Na kwanini kigezo cha elimu msiweke kwa viongozi wa chama mkianza na Mkiti?
OTIS

Nilipojibu thread yako kwa mara ya kwanza sikujua kuwa unaendelea na utumbo huku mbele. Lkn tangu awali nilishakubaini kuwa una jambo lako binafsi na wala sio lengo la kuusaidia upinzani. Kwa kifupi unatafuta umaarufu kunuka. Kiongozi wa chama anawajibika kwa chama chake kisiasa na kiongozi wa umma anawajibika kwa umma uliomchagua. Look at how pathetic is your mind when you say "kwa nini kigezo cha elimu msiweke kwa viongozi wa chama mkianza na Mkiti?" Unamlenga mtu dada/kaka.

Mimi nitakuona mwenye akili na busara kama utaniambia ni nani alistahili kuchaguliwa kuwa mbunge lkn hakuchaguliwa badala yake 'akawekwa' dada yake Lissu, otherwise, huo ni uswahili na ukosefu wa elimu.
 
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe.
Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila ndani ya CDM
Zitto kabwe nae alipigwa sana vita baada ya kutaka kugombea uenyekiti wa CDM.Kiongozi wa shughuli hii alikuwa Mzee Mtei ambae ni mkwe wa Mbowe.
Kubebana huku kumeenda hadi CDM mikoa mingine.
Mathalani,Tundu Lissu alicheza kete dada yake akapewa ubunge wa viti maalumu.
Angalia vichekesho hivi.

1.Hawa ni ndugu wa damu,angalia majina yao
Tundu Mughwai Lissu na Christina Mughwai Lissu.

2.wote wamesoma wamesoma mahambe primary school.
Tundu,76-82 Christina kasoma 78-84

Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
CDM ina safari ndefu sana
OTIS

Mkuu naona umelia sana,kwa kweli malalamiko ya namna hiyo yako yameshatokea sana,naweza kutoa hata mfano TRA watu walikua wanalalamika sana kuwa wachaga wamejazwa huko kwa upendeleo,ukaguzi ulipopita ikaonekana wale wachaga walioajiriwa kwenye position zao wako wame meet requirement kwa zile position walizonazo,I mean wako well qualified na wengine wameover qualify kwa position walizonazo,mie kwa maoni yangu unapolia kuwa kunaupendeleo angalia requirement ya hiyo position na kama huyo dada yake hakuqualify akabebwa na walioqualify wakaachwa hapo ndio ukilia utasikilizwa vinginevyo n.p
 
Mi naona Otis unahitaji kutumia akiri yako kufikiria kabla ya kupost utumbo.Usitwambie kisa ni ndugu basi hafai kuwa mbunge tueleze mapungufu yake ambayo umeyaona ndo ukafikia kuona kwamba hakufaa kuteuliwa ubunge zaidi ya undugu.
 
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe.
Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila ndani ya CDM
Zitto kabwe nae alipigwa sana vita baada ya kutaka kugombea uenyekiti wa CDM.Kiongozi wa shughuli hii alikuwa Mzee Mtei ambae ni mkwe wa Mbowe.
Kubebana huku kumeenda hadi CDM mikoa mingine.
Mathalani,Tundu Lissu alicheza kete dada yake akapewa ubunge wa viti maalumu.
Angalia vichekesho hivi.

1.Hawa ni ndugu wa damu,angalia majina yao
Tundu Mughwai Lissu na Christina Mughwai Lissu.

2.wote wamesoma wamesoma mahambe primary school.
Tundu,76-82 Christina kasoma 78-84

Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
CDM ina safari ndefu sana
OTIS
Sifa ndugu yangu, wanawake wengine wapo lakini kuna vigezo na masharti ya kuzingatia ndiyo maana wahusika hawalalamiki bali unalalamika wewe ambaye pia huna sifa ya kupewa kiti maalum.
 
Zamani nilidhani hii inferiority complexion ni tatizo kwa wanawake wenyewe tu, lkn nimegundua akiwa nalo mwanaume ni tatizo zaidi. Ndugu mwenye jina la OTIS, kuchaguliwa ubunge huanza na nia ya mchaguliwaji kugombea. Hiki ulichokiandika hapa, ni umbea uliotawaliwa na hisia za unyonge na ndio maana hakuna mfano/ushahidi uliotoa wenye kuonesha mazingira ya upendeleo badala yake unaonesha fulani na fulani ni ndugu.

Acha nikushauri kwa kuwa naamini bado una akili ya kuelewa ukiambiwa: NO INFORMATION, NO RIGHT TO SPEAK. Hii hoja yako ni ya ki-saluni saluni zaidi ndio maana umetumia hisia badala ya fikra. Kama dada wa Lissu ana potentials za kuwa mbunge wa viti maalum, kuwa kwake dada wa Lissu hakumzuii yeye kuwa mbunge. Ningekuona una akili angalau kidogo kama ungekuja na hoja kuwa, fulani hana uwezo wa kufanya shughuli aliyopewa lkn badala yake unaleta za kike-kike. Na ni dhahiri kuwa, lengo lako ktk kuyasema haya, haliko ktk kuusaidia upinzani, bali limelalia kwenye kutafuta sifa au umetumwa.

Kama wewe ni mwanaume jihadhari na kuongozwa na hisia.

Kwahiyo wewe waona ni sawa christina kupewa ubunge kwa kigezo kuwa anaweza na kuacha kinamama wengine singida?
Mkoa mzima hakuna awezae zaidi yake?
Au kwa kuwa ni dada wa Tundu?
Tafakari
OTIS
 
Zaidi ya kuwa bank officer na DJ hakuna taarifa zake zozote za shule.
Inaonekana aliishia darasa la saba.
Ila hakuna tatizo kwani kuwa mbunge watakiwa kujua kusoma na kuandika kitu ambacho mbowe anaweza.
OTIS
..darasa la saba halafu awe bank officer? utakuwa na cancer ya ubongo wewe au wanaku-Cameroon u pathetic fool!!!!
 
Kwahiyo wewe waona ni sawa christina kupewa ubunge kwa kigezo kuwa anaweza na kuacha kinamama wengine singida?
Mkoa mzima hakuna awezae zaidi yake?
Au kwa kuwa ni dada wa Tundu?
Tafakari
OTIS

Wewe unawallakini ktk ubongo wako (kama unao). Ndio naona ni sahihi kupewa kwa kigezo cha kuwa anaweza au wewe ulitaka kigezo gani zaidi ya uwezo? Kama angekuwepo mwingine mwenye uwezo zaidi yake angepewa, na kama lingekuwepo suala la upendeleo huyo aliyenyimwa nafasi angelalamika. Kinachoshangaza hapa wewe ndio unayepiga kelele, sijui kwa manufaa ya nani!

Kama na wewe unatamani kuwa dada wa Tundu Lisu, KUWA. Manake sioni unachoongea zaidi ya utumbo. Au una bi mkubwa wako aliomba hakupewa ndio unalalamika? Manake wengine na degree zenu za uchawi mnataka urubani,

wewe ndio unatakiwa utafakari
 
Hivi anafahamu ndani ya CCM?Ni kama ifuatavyo:

Samwel Malcela=Anna Kilango Malcela.
Pius Msekwa=Anna Abdallah.
Mwl Nyerere=Makongoro Nyerere.
Moses Nnauye=Nape Nnauye.
Rais Mwinyi=Wazir Mwinyi.
Yusuph Makamba=January Makamba.
Kikwete=Ridh 1.
 
Back
Top Bottom