Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Tunashukuru kamanda kwa tarifa hiyo ila huku mwanza wabunge wetu ilemela ukerewe wamevamiwa na kuumizwa vibaya hasa kiwia hali yake siyo nzuri
 
Tunashukuru kamanda kwa tarifa hiyo ila huku mwanza wabunge wetu ilemela ukerewe wamevamiwa na kuumizwa vibaya hasa kiwia hali yake siyo nzuri

Hii habari nilifikiri ni siku ya wajinga kumbe ni kweli!!! Poleni sana.
 
Yamesemwa na mh.kutoka magogoni,kwamba iwapo CHADEMA watashinda basi waachwe wachukue jimbo.. Nanukuu "...iwapo CHADEMA watashinda waacheni..sitaki matatizo yatokee.."
habari hii nimedokezwa na chanzo makini.
 
Uwenda sasa hatutaibiwa kura, yaani uwenda hakutatokea mchakachuo wa aina yoyote.. Tusubiri..
 
Hiyo inaitwa danganya toto ili watu wabweteke walizwe...

Tumeshtuka ndugu, ulinzi wa kura uko palepale tena hadi kwa helikopta. Kucheka na ccm ni sawa na kucheka na nyani shambani kwako
 
Haha, they are playing with pipo minds.

Kura zikiibwa, watatoa evidence kuwa wanaheshimu matokeo na "mwenyekiti" wanted a fair game, haha.

Sasa kwanini masanduku ya kura yamekamatwa??? Na ni kwanini waliongeza vituo hea vya kupigia kura? Kama "they aimed a fair game"
 
Wewe ndiyo huwajui Wameru tulia, Wameru hawajawahi kuongozwa na chama tofauti na CCM tutakutana jioni humu JF.


Tatizo mijitu mengine bwana inaandika kwa ushabiki. Haijui hata kumbukumbu. Haya soma hii: Mwaka 1995 jimbo hilo lilichukuliwa na mbunge wa upinzani - NCCR Mageuzi. Anaitwa KISANGA. Magamba walishinda jimbo la Arumeru Magharibi mbunge wake aliitwa Elisa Mollel.

Wana Arumeru East tunayasubiri ya 1995 yajirudie leo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom