msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 622
- 2,784
Hapa shida tutapata africa tu kwa bei ya dollar kupanda na mafuta kuwa bei
umesema kweli lakini kuna majinga yanavyotamani hiyo vita utadhani ni wayahudi au waajemi. ujinga mtupuHapa shida tutapata africa tu kwa bei ya dollar kupanda na mafuta kuwa bei
Kapiga wapi? Na raia wa Israel wangapi wamepigwa ukilinganisha na wale aliopoteza yeye?Yale yale ya Russia imeshindwa vita Ukraine, kumbe jamaa anajimegea maeneo tu,wew endelea kupokea propaganda ukweli mwanaume Iran kapiga,hayo mengine sis hatujui
Kusaidiwa ni jambo la kawaida kusaidiwa. Hata missiles za Iran zilikuwepo pia za Urusi, pia Iraq, Yemen na Hezbollah nao walisaidia pia.Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea
Anategemea Marekani na UingerezaTotal Population:
Iran 🇮🇷: 87.6M
Israel 🇮🇱: 9.04M
Available Manpower:
Iran 🇮🇷: 49.05M
Israel 🇮🇱: 3.80M
Fit-for-Service:
Iran 🇮🇷: 41.17M
Israel 🇮🇱: 3.16M
Military Personnel:
Active Personnel:
Iran 🇮🇷: 610K
Israel 🇮🇱: 170K
Reserve Personnel:
Iran 🇮🇷: 350K
Israel 🇮🇱: 465K
Paramilitary Forces:
Iran 🇮🇷: 220K
Israel 🇮🇱: 35K
Financials:
Defense Budget:
Iran 🇮🇷: $9.95B
Israel 🇮🇱: $24.4B
External Debt:
Iran 🇮🇷: $8B
Israel 🇮🇱: $135B
Foreign Reserve:
Iran 🇮🇷: $127.15B
Israel 🇮🇱: $212.93B
Airpower:
Total Aircraft:
Iran 🇮🇷: 551
Israel 🇮🇱: 612
Fighter Aircraft:
Iran 🇮🇷: 186
Israel 🇮🇱: 241
Attack Helicopter
Iran🇮🇷: 13
Israel 🇮🇱: 48
Land Power:
Tank Strength:
Iran 🇮🇷: 1,996
Israel 🇮🇱: 1,370
Armored Vehicles:
Iran 🇮🇷: 65,765
Israel 🇮🇱: 43,407
Self-Propelled Artillery:
Iran 🇮🇷: 580
Israel 🇮🇱: 650
Naval Power:
Fleet Strength:
Iran 🇮🇷: 101
Israel 🇮🇱: 67
Submarines:
Iran 🇮🇷: 19
Israel 🇮🇱: 5
Logistics:
Airports:
Iran 🇮🇷: 319
Israel 🇮🇱: 42
Merchant Marine:
Iran 🇮🇷: 942
Israel 🇮🇱: 45
Natural Resources:
Oil Production:
Iran 🇮🇷: 3.45M bbl
Israel 🇮🇱: 0 bbl
Mbwembwe tu hizo. Hakuna vita hapoHapana sio nusu. hata robo haitimii
Wakipewa dozi nusu izrail inapotea ulimwenguni
Hio sio nusu dozi kaka. Hapo wamechomwa sindano tu ya kuchukua kipimo kipelekwe maabara. Wakijitingisha tu wanachomekwa bomba la mkumbuHii ni Iran mkuu Mazayuni yakijaribu kulipa kisasi basi watakutana na mkono wa moto wa Iran.
Hii dozi waliokula Israel ni nusu dozi sasa wakijaribu kurusha makombora yao ndiyo watajibiwa kikamilifu.
BabaMorgan umeibiwa huku avatar picha yako ya zamani.Kumbe, Iran kijeshi wamejipanga sana tofauti na nlivyokuwa nawaza.
Bado upo na upuuzi as previousVITA VYAKE MUNGU WA KWELI NANI ATASHINDA?
ISRAEL AND JESUS FIRST AND FOREVER.
TRUE/REAL GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL
Ewaaaah.Haya ndio mambo mazuri Sasa,zipigwe.
Dogo unapoteaga jamvin halafu tena unaibuka. Utapotea tena najua tu halafu baadaye utaibuka.Bado upo na upuuzi as previous
Yeye anaamini kila mzungu au akiona kiingereza anaaminiJackson Hinkle ni mwingi wa fake news tambua Hilo sio zote anazo post zina ukwel fatilia uone
NDo tutaitwa mashuda wa yehovaNa bideni akiingia basii tutafute sayari nyingine ss mashuhuda
Unaweza kuwa sahihiHapa nawaza, pengine hizo zote zilikuwa kwa ajili ya kuchosha au kudanganya mfumo wa ulinzi na zile zilizopiga Israel ndio lilikuwa kusudi lao haswa?
Hitler and Netanyahu. Wanafanana hawafanani?
Kijana. Huwezi kuchangia bila kutoa lugha za ukakasi? Yote katika yote, Iran amefanya vzr. Hakuna kulialia tena. Wapigane sasa nasi tutawaombea.Hio sio nusu dozi kaka. Hapo wamechomwa sindano tu ya kuchukua kipimo kipelekwe maabara. Wakijitingisha tu wanachomekwa bomba la mkumbu