LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

Israel njia yake ya kujibu ni tofauti na Iran, sababu israel yeye atalenga tu target yake moja ambayo itahit, yeye akipiga moja tu inaondoka na top General wa Iran, Iran ni kama hakuna alichofanya zaidi ya matambo tuu..sasa unarushaje makombora 300 alaf yote yanatunguliwa iraq na jordan? yaliyofika israel ni kama 1% ambayo nayo yametunguliwa..sasa alichofanya kimeleta madhara gan kwa israel?

mfano jana usiku watu wa telaviv walikua wanajua makombora yameshatumwa yanakuja kwao na walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida yani.
Kwa akili yako kiduchu....Aliyeyatungua ni Israel au US/UK/France na Jordan? Ukifatilia mambo kiushabiki utakua unatumia uwezo wako kidogo sana wa kufikiri....Jiulize kwann ayo mataifa yameingilia kati? Kwan Israel siwote tuna jua ina multi layered defence systems? Kwann haikuachiwa yenyewe ishugulike na Iran....Jiulize kwann % kubwa ya ayo makombora/drone yamedunguliwa na US/UK/France/Jordan tena mbali kabisa na Taifa teule na yale machache yaliyopita nasema machache bado Israel hakudungua yote??? Usiwe km Rais wa Ukraine akisema Ukraine imedungua drone za Iran zilizolushwa na Russia 38 kati ya 40 ila hizo 2 zime hit target na kufanya yake.... Jua ata Syria inapotungua makombora mengi ya Israel ata ya yakipita 2 tu lengo linakua limefikiwa... Sasa ayo 7 ya Iran kwann mpaka sasa Israel haitak kuonesha ulimwengo hiyo demage ndogo tu...
 
Acha wakulane tu risasi za kichwa , wakitaka walipue na nuclear !! Hii dunia dharau zimezidi wapigane kiranja mpya apatikane tusaini treaty mpya za kubalance ulimwengu.

Nnachoamini hata siku moja watu wote hawawezi kufutika duniani watapatikana wa kubaki hao hao watakaa wakubaliane kwa ustaaarabu jinsi ya kuishi 😂😂
 
KKKT ni hapa Bongo tu. Usilinganishe kkkt na taasisi kubwa kama Catholic au orthodox.

Ili ujue kkkt ni ya kibongo hebu ona jinsi wachungaji wake walivyo na nguvu kuliko taasisi yao. Muone Kimaro au Matisai.
Taasisi kubwa iliyoshindwa na Islam Society. Iko wapi ile movement yenu ya crused mliishia wapi?
Catholic ilikuwa na nguvu kipindi Holy Roman Empire. Lakini kwa sasa ni tai wa kuchora yupo nyuma ya muda.
 
Vita kati ya Israel na Iran ni suala la muda tu, pamoja na mambo mengine, hii yote ni kwasababu ya udini na hasa Irani akiwa ndio superpower na mtetezi namba Moja wa Dola ya Kiislamu hapo mashariiki ya kati....
 
Mashambulizi yalikuwa makubwa na yameleta madhara makubwa! Wanakiri wenyewe!

Escalation will take region into perilous territory

The attack that Iran is mounting on Israel is more extensive than had perhaps been anticipated.

BREAKING :Biden and Netanyahu holding call​


The US president and the Israeli prime minister are speaking now.


How the US responds will depend on the scale of the Iranian strikes, the types of weapons used and the extent of casualties and damage.


Afu kuna mabwege humu wanasema Iran hakupiga chochote.

Rais wa Iran anasema Iran kampa fundisho Israel hata li sahau

View: https://youtu.be/Ph-bqQdgdfE?si=zrKByiDErxigDoW9
 
Catholic ilikuwa na nguvu kipindi Holy Roman Empire. Lakini kwa sasa ni tai wa kuchora yupo nyuma ya muda.
Hapa ndipo mnapochanganya kati ya Roman Empire na Roman Catholic.
Muulize basi ChatGPT atakuelezea vizuri
 
Jamii Forum Mhariri Moderator MhaririMkuu hiki kitu gani sasa hapa cha kuunganisha topic yangu hapa, mbona haieleweki mantiki yake.

Mtu akiona hii as reply anaelewa nini sasa?

Total Population:
Iran 🇮🇷: 87.6M
Israel 🇮🇱: 9.04M

Available Manpower:
Iran 🇮🇷: 49.05M
Israel 🇮🇱: 3.80M

Fit-for-Service:
Iran 🇮🇷: 41.17M
Israel 🇮🇱: 3.16M

Military Personnel:

Active Personnel:
Iran 🇮🇷: 610K
Israel 🇮🇱: 170K

Reserve Personnel:
Iran 🇮🇷: 350K
Israel 🇮🇱: 465K

Paramilitary Forces:
Iran 🇮🇷: 220K
Israel 🇮🇱: 35K

Financials:

Defense Budget:
Iran 🇮🇷: $9.95B
Israel 🇮🇱: $24.4B

External Debt:
Iran 🇮🇷: $8B
Israel 🇮🇱: $135B

Foreign Reserve:
Iran 🇮🇷: $127.15B
Israel 🇮🇱: $212.93B

Airpower:

Total Aircraft:
Iran 🇮🇷: 551
Israel 🇮🇱: 612

Fighter Aircraft:
Iran 🇮🇷: 186
Israel 🇮🇱: 241

Attack Helicopter
Iran🇮🇷: 13
Israel 🇮🇱: 48

Land Power:

Tank Strength:
Iran 🇮🇷: 1,996
Israel 🇮🇱: 1,370

Armored Vehicles:
Iran 🇮🇷: 65,765
Israel 🇮🇱: 43,407

Self-Propelled Artillery:
Iran 🇮🇷: 580
Israel 🇮🇱: 650

Naval Power:

Fleet Strength:
Iran 🇮🇷: 101
Israel 🇮🇱: 67

Submarines:
Iran 🇮🇷: 19
Israel 🇮🇱: 5

Logistics:

Airports:
Iran 🇮🇷: 319
Israel 🇮🇱: 42

Merchant Marine:
Iran 🇮🇷: 942
Israel 🇮🇱: 45

Natural Resources:

Oil Production:
Iran 🇮🇷: 3.45M bbl
Israel 🇮🇱: 0 bbl
 
1713098853283.png
 
Sasa usijitie kimbelembele vitu usivyovijua. Sisi wenyewe tumesoma Sayansi lakini siyo wapumbavu kama wewe.
Kwani ukisema umesoma historia na lugha, kuna atakayekudharau? Jivunie jambo lako, utaishi kwa furaha. Mimi nikihitaji historia ya jambo najua ipo AI inaweza kunisaidia

1713098973598.png
 
Total Population:
Iran : 87.6M
Israel : 9.04M

Available Manpower:
Iran : 49.05M
Israel : 3.80M

Fit-for-Service:
Iran : 41.17M
Israel : 3.16M

Military Personnel:

Active Personnel:
Iran : 610K
Israel : 170K

Reserve Personnel:
Iran : 350K
Israel : 465K

Paramilitary Forces:
Iran : 220K
Israel : 35K

Financials:

Defense Budget:
Iran : $9.95B
Israel : $24.4B

External Debt:
Iran : $8B
Israel : $135B

Foreign Reserve:
Iran : $127.15B
Israel : $212.93B

Airpower:

Total Aircraft:
Iran : 551
Israel : 612

Fighter Aircraft:
Iran : 186
Israel : 241

Attack Helicopter
Iran: 13
Israel : 48

Land Power:

Tank Strength:
Iran : 1,996
Israel : 1,370

Armored Vehicles:
Iran : 65,765
Israel : 43,407

Self-Propelled Artillery:
Iran : 580
Israel : 650

Naval Power:

Fleet Strength:
Iran : 101
Israel : 67

Submarines:
Iran : 19
Israel : 5

Logistics:

Airports:
Iran : 319
Israel : 42

Merchant Marine:
Iran : 942
Israel : 45

Natural Resources:

Oil Production:
Iran : 3.45M bbl
Israel : 0 bbl
Kwa ujinga wenu mnashindwa kutofsutisha Dini na masuala ya siasa ndo maana tutabaki kama nchi masikini na raia wenye mihemuko ya kidini.
 
Back
Top Bottom