Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

Tunaomba papa na nyangumi watajwe. Pia hawa jamaa waunga wanatakia kushughulikiwa kimya kimya na siyo vinginevyo. Tukipiga kelele hatutafanikiwa tuwafyeke tuwatokomeza wanatuharibia watoto na vijana wetu, wanatuharibia nchi Yetu. Tuwashughulikie kimya kimya tungoe visiki ya miti yao.
 
Hawa watumiaji watwataja wanaowauzia na hao vilevile watawataja dealers wakubwa
 
Tunaomba papa na nyangumi watajwe. Pia hawa jamaa waunga wanatakia kushughulikiwa kimya kimya na siyo vinginevyo. Tukipiga kelele hatutafanikiwa tuwafyeke tuwatokomeza wanatuharibia watoto na vijana wetu, wanatuharibia nchi Yetu. Tuwashughulikie kimya kimya tungoe visiki ya miti yao.
Wapokonywe vitendeakazi
 
Acha ifanyike kwa uwazi kwa kuwa hawa wauza unga wana tabia ya kutangaza mafanikio yao hadharani na hatimaye kuwaathiri vijana kudhani maisha ni rahisirahisi
 
Wanazidi kumiminika
IMG-20170203-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom