Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Matokeo rasmi majimbo ya Kagera

Bukoba Mjini:
Mshindi ni Balozi Khamis Kagasheki,
Balozi Khamis Kagasheki 6971
Dr Anatory Aman 944.
George Rubayuka 113.
Josephat kaijage 71.
Mujuni kataraiya 53.
Philbert Katabazi (nyerere) 34.
clistiana Rwezaula 29.
Hereth Projestus 19.

BukobaVijijini
Mshindi ni
1:Bw.Jasson Rweikiza ,

Muleba Kaskazini
Mshindi ni
1: Charles Mwijage

Muleba Kusini
Mshindi ni
1:profesa Anna Tibaijuka,

Jimbo la Nkenge
Mshindi ni
Diodorous Kamala,
DR DIODORUS KAMALA 8229,
FROLENT KYOMBO 5429,
ASUMPTA MSHAMA 5273,
JULIUS RUGEMALIRA 5201,
DR MAZIMA JOHACKIM 2329
DR NYAGWA 671
 
Ila ukiangalia kura za maoni ccm kura feki ni nyingi sana. Hapo tu jumla ya wanachama 22000 wamepiga kura. Hilo jimbo ccm ina wanachama wangapi?
 
Huyo ni mmoja kati ya wengi waliokuwa wanalinajisi BUNGE. Shukrani kwa wale walioona na kutambua uchafu huo na kuufagilia mbali
 
Napata wasiwasi na uhai wa ccm, ukijumlisha kura za maoni za ccm zilizopigwa na wanachama wote hazizidi 3m kwa maana nyingine wanachama active wa ccm hawazidi 3m ambao pangapangua lazima wachague ccm. Kwa maana nyingine JP anakazi ya ziada kuwashawishi wasiokuwa wapenzi wa ccm wamchague.

Magufuli anakazi ya kushawishi wapiga kura 18m amabao si wapenzi hai wa ccm jambo ambalo sidhani kama ni rahisi hivyo. Kwa upande mwingine nashindwa kuelewa wanaccm waliomdhamini Lowasa pwani walikuwa 270,000. mbona waliopiga kura za maoni hawafiki hata elfu hamsini? Napata shaka sana na takwimu za nchi hii.
 
Kweli WAHAYA ccm imewaloga. Wanachama wa ccm jimbo la Nkenge ni wengi kuliko mkoa wa Simiyu. Tanzania imebadilika wamebakia Kagera na Dodoma
 
Dr kamala sasa atawachinjia nkende kabisa ,msiache kula,mngemchgua rugemalira ni bonge la kiongozi alituongoza vizuri daruso
 
Unajua utaratibu wa kupiga kura za maoni? kabla hujaandika ungefanya kwanza utafiti.
 
WANAOONGOZA KURA ZA MAONI MAJIMBONI MPAKA SASA:
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki -
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua bado kata 2
 
nimefurahi sana hovyo mno huyo mama yuko tiyari watu wafe lakin ccm iendelee kutawala, watu wa namna hii ni hatari sana
 
Back
Top Bottom