Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,146
- 13,216
AI NI Jakaya au yeye ni nani?Kwani nchi hii ina rais.
AI NI Jakaya au yeye ni nani?Kwani nchi hii ina rais.
View attachment 214826
hapa mkuu alikua anamaanisha nini wajomba?
mie nimeshaogelea...........kalaghabahoooooooooooooooalikuwa anamaanisha yeye kasha ogelea .. aisee mkuu atapata tenzi za shingoni
mie nimeshaogelea...........kalaghabahooooooooooooooo
watu huwa wanalenga sana majinaha ha nipo mndenyi
watu huwa wanalenga sana majina
Oh inaoneka kwa mara ya kwanza umepanda ndege leo tangu umezaliwa, hongera dada.