Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

thread ipo doroooooooo.....hahahaha chezeya lowassa/UKAWA nyie.kudadadeki zenu.
 
Ni Kweli Mkuu Kuna NYOMI Ya Kufa Mtu Na Sasa Nataka Wale Wapumbavu Na Malofa Waje Waseme Kuwa Dr. Magufuli Huwa Hajazi Ktk Mikutano Yake Ya Kampeni. Akhsante Sana Dr. Wilbroad Slaa Kwani ULICHOKIFANYA Jana UMETUSAIDIA Kubadilisha UPEPO Na Kuturahisishia Kazi CCM.

Kama comedi wapo kwa nini nami nisiende?
 
Hotuba hii iko live kupitia star tv
mgombea urais wa ccm dr magufuli anaongea na wananchi moja kwa moja kutoka mtwara kuomba kura kwamba akichaguliwa kuwa rais ataunda mahakama maalumu ya kushughulikia mafisadi, wezi na wahujumu uchumi.
anasema kuna watu wanasema tumechoka ccm, hapana. kama kitanda kina kunguni choma kunguni usichome kitanda. fuatilia uzi huu.

Anasema kuanzia mwakani akipewa urais, elimu ya msingi na sekondari itakuwa bureeeeeeeee, hakuna kulipa karoo uwe cuf,chadema,nld,a.ct. mkristo,muslam elimu bure.atajenga reli kutoka bandari ya mtwara hadi mbambabay, kupitia mchuchuma hadi liganga.
kila kijiji kila mtaa kila kata itapewa tsh milioni hamsini kwa kina mama na vijana kwa ajili ya maendeleo.

watanzania wanahitaji maendeleo. mimi ni mwana maendeleo. tanznaia ya magufuli itakuwa ya maendeleo.
nawaomba watu wa chadema walioko hapa wanaosema peoples power, hizo power wanipe mimi magufuli hizo power nilete maendeleo. wa cuf wanipe na wa ccm wanipe kura.
matatizo ni mengi mfano hospitali, unaenda ukienda unaambiwa nenda kanunue dukani, serikali ya magufuli dawa zitapatina hospitali bure...pia tutajenga hospitali ya rufaa hapa mtwara.
Anasema ili kuwe na maendeleo lazima kuwe na amani. hatutaki vita kama libya ambayo watu walikuwa wanaoa kwa msaada wa serikali lakini leo wanajuta
 
Masikini magufuri anahutubia na kushangiliwa na kikundi kilichopangwa na ccm,wakati kila mtu anaye msikiliza amenuna na wengi wao ni watu wa upinzani wameenda ku muinjoy
 
Ni Kweli Mkuu Kuna NYOMI Ya Kufa Mtu Na Sasa Nataka Wale Wapumbavu Na Malofa Waje Waseme Kuwa Dr. Magufuli Huwa Hajazi Ktk Mikutano Yake Ya Kampeni. Akhsante Sana Dr. Wilbroad Slaa Kwani ULICHOKIFANYA Jana UMETUSAIDIA Kubadilisha UPEPO Na Kuturahisishia Kazi CCM.

Ushaambiwa watu wamezolewa kijijini na usafiri ni wa bure kwenda na kurudi na si ajabu kuna watu wana muda mrefu hawajapanda gari .
 
Ni Kweli Mkuu Kuna NYOMI Ya Kufa Mtu Na Sasa Nataka Wale Wapumbavu Na Malofa Waje Waseme Kuwa Dr. Magufuli Huwa Hajazi Ktk Mikutano Yake Ya Kampeni. Akhsante Sana Dr. Wilbroad Slaa Kwani ULICHOKIFANYA Jana UMETUSAIDIA Kubadilisha UPEPO Na Kuturahisishia Kazi CCM.

Acha uboya ww huwezi fananisha tsunami na kamkussnyiko ka magufuli 1441200340201.jpg
 
Attachments

  • 1441200372518.jpg
    1441200372518.jpg
    183.4 KB · Views: 227
Akiwa mtwara kwenye kampeini za ccm na magufuri anasema sumaye ni mjinga na fisadi,hivi kwa kumtukana sumaye leo haoni kuwa anamtukana rais aliye mchagua kuwa waziri mkuu?

hivi unamuonaje sumaye?,,,,,,pale hamna kitu pale,sijui mkapa alimwokotea wapi yule....

kiburi full full....ongea yake tu,unajua huyu mtu ni mzigo
 
Hawa ccm wote wameletwa kwa magari. Hahahaha. Nimemshangaa yule mlemavu wao ana msifia dr leo baada ya kumaliza kaz yake na kupanda pipa leo. Mbona walimbeza sana huyo dr. Kabla hawajamnunua hahahah. Tushawajua??
 
hivi unamuonaje sumaye?,,,,,,pale hamna kitu pale,sijui mkapa alimwokotea wapi yule....

kiburi full full....ongea yake tu,unajua huyu mtu ni mzigo

Kwahiyo unahoji uhalali wa Mkapa kuwa rais?
 
Back
Top Bottom