UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

Pamoja na hoja ambazo zimebe analyzed kwa ajili ya kujadiliwa Naomba baraza kuu la chadema wasisite kugusa haya 1.nidhamu kwa viongozi 2.ruzuku ya chama hapa waangalie sana sana swala hili kwa sababu kumekuwa na malalamiko mengi kuwa matawi hawapati ruzuku hivyo kufanya ujenzi wa chama sana sana ngazi ya wilaya kwenda chini kuwa ngumu 3.vitendea kazi hapa napenda wangalie swala la upatikanaji wa vitendea kazi kwa ajili ya kurahisisha ujenzi wa chama mfano bendera,skafu,t.shirt na usafiri wa boda boda kwa makatibu wa kila wilaya kama walivyoahidiwa itekelezwa isiwe porojo 4.mikakati ya chadema kuelekea uchaguzi mkuu waje na mbinu dhabiti inayoonyesha kuwa wamelenga kweli kuiondoa chama tawala madarakani 5.waangalie swala la uundwaji wa kamati maalum ambayo haifungamani na upande wowote kwa ajili ya kuchuja wagombea hasa hasa ukizingatia kuwa chadema watakuwa na uchaguzi wa chama very son ili kuepuka mamluki wengi
na makundi ya maslahi ndani ya chama. 6 naomba pia baraza kuu wahoji hili swala la media ya chadema imeishia wapi kama ambavyo baadhi ya viongozi wa chadema walivyowahi kutolea ufafanuzi hapa jamii forum kuwa wako katika hatua nzuri ya kuanzisha mbona mpaka sasa hatuoni chochote. NB naomba sana sana hilo swala la media wasifanyie lelemama ukizingatia hasa hasa kipindi hiki ambacho chama tawala imeshika media karibu zote kama watashindwa kuanzisha ya kwao waache kulalamika kuwa habari yao imeminywa hasa kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Wanamume wakikaa mahali siku tatu ogopa hiyo kitu.CHADEMA nimoto wa gesi,wako wengije! Hiyo ni sababu ya wawakilish kutoka mikoani viva makamanda nawapenda sanaa hichi ndicho chama nilichokua nakiotaga kipindi niko darasa la nne niliku na uchungu ila wakunisapoti hakuagepo sasa najivunia kua CHADEMA hata mama angu anajua
Pamoja sana kamanda,ama kwa hakika ukiwa ndani ya Chadema ni ufahari na amani,leo nimepigilia kombati yangu nikaenda kazini ama!!!nimefarijika sana watu wakinishangaa na kupewa mikono kamanda naona mapambano yanaendelea!!!!I love Chadema chama cha mkombozi wa wanyonge!!!
 
Sasa sare ni tisheti za kichina? magwanda yamevuliwa na kutupwa! na sera zenu badilisheni basi maana naona mpaka sala za kanisani mkutanoni! sijui wanaomba kwa jina la nani!
attachment.php
 
Sasa sare ni tisheti za kichina? magwanda yamevuliwa na kutupwa! na sera zenu badilisheni basi maana naona mpaka sala za kanisani mkutanoni! sijui wanaomba kwa jina la nani!

vipi ushamaliza kupika?
 
Sasa sare ni tisheti za kichina? magwanda yamevuliwa na kutupwa! na sera zenu badilisheni basi maana naona mpaka sala za kanisani mkutanoni! sijui wanaomba kwa jina la nani!
attachment.php
Imekuuma eeh! bata wewe kaa utulie hapo usubirie Kupakatw
 
Sasa sare ni tisheti za kichina? magwanda yamevuliwa na kutupwa! na sera zenu badilisheni basi maana naona mpaka sala za kanisani mkutanoni! sijui wanaomba kwa jina la nani!
attachment.php

wewe huwa unaomba kwa jina la nani????
 
umekosa point mkuu,sio lazima uchangie.kama huna kazi na unapenda hesabu basi tuchambulie bajeti zote za mikutano ya ccm na wabunge halafu compare na hiyo hapo.
tena muulize nape analipwa sh ngapi? Sisi tunajua heche analipwa 650000 kitu uwazi bila chenga na sotetunakubali anastahili
 
Sasa sare ni tisheti za kichina? magwanda yamevuliwa na kutupwa! na sera zenu badilisheni basi maana naona mpaka sala za kanisani mkutanoni! sijui wanaomba kwa jina la nani!
attachment.php

ndugu yangu kila kitu siku hizi kinatengenezwa china. chezea mchina wewe marekani na ujuaji wake wote vitu anazalishia china. unanunua mfano iphone 5 unasema hii ni ya mmarekani hebu fungua ndani kila chip humo ndani "MADE IN CHINA"
 
Back
Top Bottom