UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

Wanamume wakikaa mahali siku tatu ogopa hiyo kitu.CHADEMA nimoto wa gesi,wako wengije! Hiyo ni sababu ya wawakilish kutoka mikoani viva makamanda nawapenda sanaa hichi ndicho chama nilichokua nakiotaga kipindi niko darasa la nne niliku na uchungu ila wakunisapoti hakuagepo sasa najivunia kua CHADEMA hata mama angu anajua
 
Wana JF naona pro CDM wameamua kukalia updates za baraza,vipi hakuna muungwana yeyote mwenye mtambo wa kuingilia mawasiliano ya maongezi ya vikao atupe yanayojiri kikaangoni!!

Siri za kikao!
 
Ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba CHADEMA KUINGIA IKULU NI SAWA NA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.

Mh! Jamaa unawaza kwa urefu wa pua, japo cdm wanao mawakala wa kutosha kakini hata hii kasi ya cdm haikupi majibu
 
attachment.php

Zitto hii leo
amesimama kama Malaki Paul Malaki Paul Uncut [HD] - Britains got talent 2012 (auditions) - YouTube
 
Aha hahah Like Like Like

Nazijua bhana ila hawa CDM

wanambembwe sn alafu kumbe nao hawawezi wanadhani kufanya maamuzi magumu mchezo ninii ahah aha wasiwalaghai vijana wasiojua kuchambua siasa mkubwa wanawaumiza kwa manufaa yao inauma sana.
mkuu hakuna vijana wanaoumizwa.kinachotakiwa ni uvumilivu wa kisiasa..siasa ni mambo mengi na utendaji ni sehemu ndogo tu ya siasa.!
 
Mh! Jamaa unawaza kwa urefu wa pua, japo cdm wanao mawakala wa kutosha kakini hata hii kasi ya cdm haikupi majibu

Achana nae huyo,ulitakiwa umjibu kuwa CHADEMA wana mbinu 50,000,000 za ushindi,zaidi ya waTz wote,Ameeeen.
 
Kwanza niliposema cap zenye visor umenielewa?

Pili, unaweza ukahutubia UN huku umevaa jeans na pama kichwani lakini haimaanishi kuwa umefanya jambo sahihi.

Utakuwa miongoni mwa wanaoendekeza urugaruga tu

Kuna wakati mwingine huwa nahisi kama umechanganyikiwa au una msongo wa mawazo.
Au maisha yako yapo kwenye vitabu tu.

Lakini kubwa ambalo najua unalifanya, ni mchafuaji wa hoja kwa kuleta mambo yasiyo ya msingi na kutengeneza mjadala.

Naona hapa umeleta mjadala wa fashion show na unakomaa nao kama kawa.


ImageUploadedByJamiiForums1359392904.002405.jpg
 
Kwanza niliposema cap zenye visor umenielewa?

Pili, unaweza ukahutubia UN huku umevaa jeans na pama kichwani lakini haimaanishi kuwa umefanya jambo sahihi.

Utakuwa miongoni mwa wanaoendekeza urugaruga tu
out of context kabisa

you must be living a very miserable life kwakweli... wapenda kukomalia visivyokomaa na wewe
 
Wanamume wakikaa mahali siku tatu ogopa hiyo kitu.CHADEMA nimoto wa gesi,wako wengije! Hiyo ni sababu ya wawakilish kutoka mikoani viva makamanda nawapenda sanaa hichi ndicho chama nilichokua nakiotaga kipindi niko darasa la nne niliku
na uchungu ila wakunisapoti hakuagepo sasa
najivunia kua CHADEMA hata mama angu anajua

Sasa akijua mama yko tufanyaje? Nenda FB Ukakutane na watoto wenzako uwape huo umbea
 
Maazimio lukuki ya kufukuza wanachama safari hii itakuwa zamu ya BABU na Shibuda......,
 
Back
Top Bottom