UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

Mkutano umeisha lakini hakuna jipya ni mazingira ya kupeana posho tu. Ukipiga hesabu za haraka haraka posho za mkutano kila mtu 60,000 x 150 = 9,000,000 posho ya chakula 10,000 x 150 = 1,500,000 ukumbi 2,000,000. Mafuta ya magari 2,000,000.

Hizi pesa unajenga madarasa mangapi au unajenga visima vya maji vya bei rahisi vingapi.

Chadema hebu acheni usanii kila wiki mkutano wiki mbili zilizopita mlifanya mkutano Moshi wiki iliyopita mlifanya mkutano Arusha leo tena mmefanya mkutano Dar es Salaam.

Huko kote mnagawana posho za mikutano.
Kweli mti wenye matunda utupiwa kila jiwe, Mwishowe utasema wangeweza kuwalipa walimu 100, Wanajeshi 10 na Polisi 300. kwa mwezi huu.
Hivyo hawa ni mafisadi wa kodi za wananchi tuwashitaki.

Mkuu Ritz
Hii inaonyesha kuwa moyoni unajua CDM ndiyo inajishughulisha na maendeleo ya wa-Tanzania.
 
kweli biashara ni matangazo tutaeendea kununua ganda la box siyo kilochopo ndani ya box kazi tunayooooo vyama vinaposhindana kwa mavazi wananchi wana shinda na njaaa,hawana dawa,watoto hawana madawati shuleni.tukichukua garama ya mavazi yanayo valiwa na vyama vyetu vya siasa hapa nchini ni mchango tosha wa madawati mashuleni.Mwalimu alisema Yupo tayari wananchi wake wavae kaniki ila wawe na chakula,kwe mwendo huo hakuna uzalendo tusidanga nyane kabisa.

zuberi ni kipi kitakachofanywa na Chadema usilaumu? Ulitaka wavae magunia?
 
Last edited by a moderator:
Mkutano umeisha lakini hakuna jipya ni mazingira ya kupeana posho tu. Ukipiga hesabu za haraka haraka posho za mkutano kila mtu 60,000 x 150 = 9,000,000 posho ya chakula 10,000 x 150 = 1,500,000 ukumbi 2,000,000. Mafuta ya magari 2,000,000.

Hizi pesa unajenga madarasa mangapi au unajenga visima vya maji vya bei rahisi vingapi.

Chadema hebu acheni usanii kila wiki mkutano wiki mbili zilizopita mlifanya mkutano Moshi wiki iliyopita mlifanya mkutano Arusha leo tena mmefanya mkutano Dar es Salaam.

Huko kote mnagawana posho za mikutano.

Sio Lazima Kila Post Uchangie..Ukiona huna cha kuandika,Unapita tu kimyakimya.

Unaonekana Unajua mahesabu kweli!!! Hebu Tuambie Umejuaje gharama za Posho ya Vikao..Na wewe Ulikuwepo nini??
 
Ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba CHADEMA KUINGIA IKULU NI SAWA NA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.

Kichuli , Nilidhani unazungumzia kuungwa mkono , kumbe unazungumzia Wizi wa Kura ! Kwa 2015 halitatokea , sahau kabisa upuuzi huo , Kuanzia muda huu nimekudharau kupita maelezo , Always Great Thinkers try to convice others, do not command ! You are not one of them .
 
ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba chadema kuingia ikulu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.
sio kupita kwenye tundu lako
 
Walio wengi mnapenda ushabiki wenu wa jf ndio yawe maazimuzi ya kamati kuu, mmepoteana.!
 
Weka namba yake hapa jamvini mkuu BBJ watu wengi wanaziulizia.

Number ya kamanda anayeuza hizi t.shirt na nguo zingine za cdm ni huyu hapa anaitwa samky no.0715882817,0756882817
 
Last edited by a moderator:
Mkutano umeisha lakini hakuna jipya ni mazingira ya kupeana posho tu. Ukipiga hesabu za haraka haraka posho za mkutano kila mtu 60,000 x 150 = 9,000,000 posho ya chakula 10,000 x 150 = 1,500,000 ukumbi 2,000,000. Mafuta ya magari 2,000,000.

Hizi pesa unajenga madarasa mangapi au unajenga visima vya maji vya bei rahisi vingapi.

Chadema hebu acheni usanii kila wiki mkutano wiki mbili zilizopita mlifanya mkutano Moshi wiki iliyopita mlifanya mkutano Arusha leo tena mmefanya mkutano Dar es Salaam.

Huko kote mnagawana posho za mikutano.

Ukisoma hapo chini labda unaweza kuambulia kitu ingawa kwa kichwa chako kigumu na wasiwasi hutaambua kitu

Back
Top Bottom