UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

t-shirt nzuri mradi wa nani huo? ngoja tusubuli wale wanao timuliwa wafunguke..
 
naona unatetea ujinga.. Sijakataa wataongea ila for now picha hazisaidii kituu embu usijitoe ufahamu...
ndio usubiri sasa kama unajua kuwa wataongea.wakianza ataweka hapa utaona.mbona mgumu kuelewa?umekula kwanza?mbona una haraka kama unatumia laptop ya shemeji yako?subiri updates zinakuja.
 
Unaonekana unapenda kuchati... nenda facebook mbulula wewe...
 
Wamependeza sana mkuu vipi kuhusu mapato na matumizi na je yule bingwa wa kujikopesha pesa za umma amelejesha pesa au ameomba aongezewe muda wa kulipa pesa zetu naomba jibu mkuu,
 
Alishazilipa siku nyingi kabla hata hili sakata la kujikopesha alijaanza.
Hivyo hadaiwi na chama pesa yoyote.
 
Hehee nafurahi sana kuona ukomavu wa chama unapojidhihirisha kwakufanya maamuzi magumu!

Asante Mungu, 2015 hiyoooooo virusi wote wa ccm chaliiiii!

Haya nendeni huko huko mlikoahidiwa pepo ya mda tu!
 
Nafikiri tuache mzaha,CDM lazima waje na mapya hasa swala la nidhamu na mkakati mpya wa kuitoa CCM madarakani.Matamko yametuchosha.

Tunafatilia.
 
Hehee nafurahi sana kuona ukomavu wa chama unapojidhihirisha kwakufanya maamuzi magumu!

Asante Mungu, 2015 hiyoooooo virusi wote wa ccm chaliiiii!

Haya nendeni huko huko mlikoahidiwa pepo ya mda tu!

Lazima wafanye kitu serious tusisikie ujinga tena.
 
Back
Top Bottom