Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

maguzu masese

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
283
139
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA.

VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.
 
Real huyu kamanda anapiga kazi.
 
kamanda mawazo utakumbukwa kwa mchango wako na mungu azidi kukujalia afya njema,hekima na busara
 
Kama ni mchapa kazi CHADEMA imempata, chini ya huyu KAMANDA MAWAZO hakuna rangi CCM itaacha kuiona huko site (KANDA YA ZIWA)
 
Huyu jamaa namkubl coz hapend misifa bt misfa inamfuata mwenyewe,go mawazo,napenda hata kuwa mfano wake
 
Dah Mawazo anajituma sana,na ana moyo wa kufanya sana Big up kamanda,
CHADEMA for life.
 
Ole milya naye mbona hasikiki?
Huyu Ole Milya alipewa kazi ya kuisambaratisha ccm huko SIMANJIRO, kuhakikisha Ole Sendeka harudi bungeni 2015. sasa sijui ni kwanini Ole Milya hasikiki pengine huko Simanjiro hakuna member wa JF awezaye kutuletea yanayojiri huko.
 
mawazo ni noma. yeye hapendi mijini anakwambia ni kijiji kwa kijiji poli kwa poli. usafili wake mkubwa ni mitumbwi, pick up, bodaboda na baiskeli. "mimi kijana mwenye nguvu, napita sehemu ngumu na hatari ili kusafisha njia". chezeya mawazo weye!. Mungu azidi kumbariki na kumlinda. mia
 
MR. ABLE;

Huyu Milya ananipata shaka kwani kimya yake kina maulizo kwangu kidogo!

Babaubaya; Popote pale ulipo hebu kujaga hapa utupe newz ya huyu Milya popote pale alipo!

Huyu Ole Milya alipewa kazi ya kuisambaratisha ccm huko SIMANJIRO, kuhakikisha Ole Sendeka harudi bungeni 2015. sasa sijui ni kwanini Ole Milya hasikiki pengine huko Simanjiro hakuna member wa JF awezaye kutuletea yanayojiri huko.
 
Last edited by a moderator:
Mawazo unawapa mawazo sana magamba,Wish chama changu kiteue safu kama ya kamanda mawazo isambae kanda zote 10 tena bush kabisa ili 2014 tupitie viti vingi vya serikali za mitaa,vitongoj na kata then tujitathimini kuelekea 2015
 
Milya kwa kweli uchaguzi ukifanyika saa yoyote muda wowote ni mbunge. Amefanikiwa kuwanyonyoa magamba sehemu zote walizokuwa na nguvu kuanzia mirerani landanai komolo naberera orkasmet msitu wa tembo kote huko ukipita bendara za chadema ziko juu.anachoomba siku ya uchaguzi ni ulinzi wa kura tuu.sendeka amebaki na ahadi hewa ya kutoa maji mto ruvu ahadi mirerani.
 
MR. ABLE;

Huyu Milya ananipata shaka kwani kimya yake kina maulizo kwangu kidogo!
Mkuu LiverpoolFC habari kuhusu Ole Milya Mkuu LENGIO anajaribu kututoa shaka kama anavyoeleza hapa;

Back
Top Bottom