UPDATE: Uthibitisho wa CHADEMA kumiliki DVR mbili zilizorekodi mkutano huu hapa.

Shukrani sana ila tutaendelea kukuchukulia kwa tahadhari isije kuwa pia na wewe umekuja kuandika haya with a malicious intention.......! Goodevening!

Ben kuwa na imani kamanda, "tafuta post zangu utaujuwa mlenguo wangu" sisi ni wale maruhani tulioko front line tunajulikana kama "unsung heroes". peoplezzzzzzzzzzzz
 
Kila mara mkutano au maandamano ya CDM yalipofanyikana kukatokea vurugu hadi kusababisha vifo, Chadema ilikuwa ina respond harakasana kwa kuitisha vikao vya ndani na hatimaye kutoa matamko, makada wake kuongeakwenye vyombo mbalimbali vya habari wakilaani mauaji yale na kumtaka Raisiaunde tume huru ya majaji ya uchunguzi.

Lakini safari hii ni tofauti, Viongozi wa Chademahawajahamaki kama walivyokuwa wanahamaki kwenye matukio ya hapo nyuma. Makadawake wengi wametulia kimya wala hamna anayebwabwaja hovyo kwenye vyombo vyahabari. Matokeo yake kuonekana maafisa usalama wa taifa wanaowafanyia surveillancemakada wa chadema wanapata kazi kubwa kwa sababu hakuna uwezekano wa kujua kwa uhakikanani anaweza kuwa na hizo DVR.

Kinachotafutwa ni ile DVR ambayo inasemekana kwataarifa zilizopo kwenye usalama saa hizi ni kuwa wameconfirm kuwa kwelikulikuwa na DVR machine mbili zilizokuwa zinarekodi kwa pamoja, moja ikiwa kamaback up. Na kwamba mpaka saa hizi Chadema bado hawajafanikiwa kuhamisha pichakutoka kwenye hizo DVR kwenda kwenye computer halafu wahamishie kwenye CD. Kwahiyo hizo DVR zikipatikana ndio utakuwa mwisho wa hizi tuhuma za Chademakuihusisha na polisi.

Mara baada ya tukio lile kutokea. Kuna maafisa usalamawalimfanyia 24hrs surveillance mbowe pamoja na lema wakiwafuatilia kilawanalolifanya na kila wanapoingia lakini kwa data zilizopo mpaka saa hizi imethibitishwakuwa hiyo imeshindwa kujulikana kwa asilimia 100 kuwa hizo DVR zitakuwa maeneogani. Ieleweke kwanza Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema bw. Lwakatare hakuwaanajihusisha na shuguli za usalama za Chadema kwa muda mrefu kwa kuwa alikuwagerezani. Mpaka saa hizi haijulikani nani anae-handle mambo ya usalama chademakama in-charge, ndio maana Wanausalama waliamua kumfanyia surveillance Mbowe nakila watu anaokutana nao. Hata ile hatua ya Chagonja kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa wanamtafuta mbowe na lema ilikuwa ni kuwahadaa akina mbowe na lema wajue kuwa polisi hawajui walipo ili wafanye vikao vyao kwa uhuru ili maafisa usalama wapate information. Lakini mbowe alikuwa mjanja alijuwa tokea kwenye mkutano kuwa anafuatiliwa na watu wa usalama.

Hii imewafanya maafisa usalama na polisi washindweku-pin point kwa uhakika ni wapi wa-ambush ili kupata hata detail za ninichadema wanajua. Ripoti nilizo nazo mpaka sasa ni kwamba hata Lema alipotakakuongea kwenye kipindi cha VOA kilichorushwa jana kilichomuhusisha mwigulu,alionywa asiongee ili asije akatoa clue ya aina yoyote. Hii tactic ya Chademakukaa kimya bila matamko yoyote wala makadre wao waliozoeleka kuandika mambokwenye mitandao kukaa kimya ndio iliyowafanya wazidi kuchanganyikiwa.Inasemekana hata mapandikizi ya CCM yaliyoko Chadema hayajui nini kinaendelea,kwa hiyo nao wameshindwa kutoa mchango wowote kwenye hili jambo. Wanachofanya haomamluki ni kuwaeleza nani yupo wapi na nani lakini hawajui nini wanaongea.Inasemekana, kwa structure ya utendaji ya chadema kuna siri ambazo ni za watuwa tatu(3) walioko kwenye chama na wawili(2) nje ya chama ambao hawajulikanikama ni wanachama wa chadema.

Kinachotokea saa hizi ni Frustration kwa upande wapolisi na usalama maana taarifa nilizo nazo kutoka kwa baadhi ya wanausalama nikwamba Mkuu wa nchi na top officials wa CCM wameagiza kuwa ni lazima huo mkandaupatikane. Nimeambiawa wanaulizia update kila baada ya saa moja kujua polisi nausalama wamefikia wapi. Hii imesababisha kuongeza nguvu kwa kutumia wanausalamawalioka nje ya Arusha kwenye mikoa mingine kujaribu kuwapeleleza makada wachadema walioko kwenye mikoa mingine.

Taarifa zilizopo ni kuwa kuna maafisa usalama wametoacopy za passenger manifesto za mabasi yote yaliyosafiri kutoka arusha sikumbili baada ya bomu, na sasa wana-sort majina ambayo wanahisi ni abiriawaliokuwa wanachama wa chadema ili wakachunguzwe kwenye mikoa waliyoenda kamawanaweza wakawa na hizo security equipment za chadema. Wamewadanganya maagentiwa mabasi pale stend ya Arusha kuwa wanawatafuta abiria wa kisomali kuwa ndiowaliolipua bomu.

****kwa mtu ambaye hajui DVR ni nini. Hii ni mashineya kurekodi matukio ni real time yanayotokea katika kila kamera inayorekodiiliyounganishwa. Ipo kama deki ya kawaida ya video tunazoangalia uswahilini.Kinachofanyika ni kuwa Hizi DVR machine zinakuwa na hard Disc yenye uwezotofauti tofauti kuanzia 500MB, 1GB, 2GB n.k. Ukubwa wa bytes ndio unaodetermine muda mrefu wa kurekodi kablaya kufuta. Vile vile zipo zenye uwezo wa kuunganishwa na kamera 4, 8, 16 n.k.Hizi DVR ndio zinazotafutwa saa hizi na wanausalama na sio camera, kamera kaziyake ilikwisha.

Nitaendelea kuwapa update kila ninavyoipata kutoka kwaclass met wangu aliopo huko jikoni.

Eti viongozi wa Chadema hawakutoa matamko wewe nawe ni muongo usiye n kumbukumbu. Hivi Mnyika alipokutana na waandishi hakutoa tamko? Mbowe aliposema walioua ni polisi waliotumwa na CCM sio tamko? Ni slaa pekee anaogopa kutoa tamko kwa sababu kauli yake kwamba nchi haitatawalika inaendelea kufanyiwa kazi na vikosi vya siri vya Chadema. Vikosi vya ung'oaji kucha na utesaji.
 
kwa uongo mnaongoza cdm
we endelea na mawazo yako ukijifariji kwamba tu waongo. Nilifurahi sana nilipokutana tiss oficer mmoja wa iramba aliposema hajui dvr ni nini na kazi yake. Nikabaini hakuna uchunguzi hapo wala maarifa ya ki intelijensia wanayodai wanayo. Nilicheeeeka hadi basi. Kidogo nitoboe siri ya nyumba. Mbona raha.
 
Shukrani sana ila tutaendelea kukuchukulia kwa tahadhari isije kuwa pia na wewe umekuja kuandika haya with a malicious intention.......! Goodevening!
Asante sana hata mimi nilitaka ku-comment hivi, kwa vitu kama hivi huwa mwangalifu sana hasa inapotokea mtu anakuja na siri za ndani za chama, all in all i take it with precautions.
 
Bila video itayoonyesha polisi (FFU) aliyerusha bomu, au raia aliyevaa jeans na sahati la kijivu lenye mistari myeusi, itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu.

afiki inaonekana huijui DVR, inachukua kila kitu kilichokuwa kinaendelea sio hiyo jinsi nyeusi tuu, na kama ni ile inayotmoa techn ya jicho la samaki inachuka angle zote! yaani ni hatari tupu!
 
we endelea na mawazo yako ukijifariji kwamba tu waongo. Nilifurahi sana nilipokutana tiss oficer mmoja wa iramba aliposema hajui dvr ni nini na kazi yake. Nikabaini hakuna uchunguzi hapo wala maarifa ya ki intelijensia wanayodai wanayo. Nilicheeeeka hadi basi. Kidogo nitoboe siri ya nyumba. Mbona raha.

Wewe haujui usalama wa Taifa pole sana. Kweli mtume hasifiwi nyumbani
 
Shukrani sana ila tutaendelea kukuchukulia kwa tahadhari isije kuwa pia na wewe umekuja kuandika haya with a malicious intention.......! Goodevening!
Kweli Ben huna huruma na magamba...ha ha..
A good thing ni kwamba wakitaka reduce capabaility ya CDM hadi kuwa a simple DVR na zilikuwa mbili ili waweze pika video zao.Watakuwa wamejipa domain ingine ya kutafuta hiyo video au kuweka counter kwa kutumia video ambzo tayari zipo youtube..Normally watu makini huwa wana encircle problem ili wabaki na sehemu ndogo yenye probability ya kufikia target.Hii habari inawajengea CCM ground za kujidangnya zaidi.N wajue CCM ndio pekee hudanganywa kwa uongo wao wenyewe.

sasa watakimbilia kutafuta DVRs kitu kinachowapa CDM kazi ndogo sana, kutengeneza counter-intelligence moves.Kwa kuengineer meter data, na kuweka DVRs ktk mazingira ya kuficha kumbe si halisi au yenye picture ambazo tayari zipo ktk public Ila si kutoka kweye hard disk original il ni mpya zilizowekwa picture.Zippo trick kadhaa za kuengineer date ktk picture kadiri ilivyotengenezwa mwanzoni.

Kwa fikra za CCM wanadhani kudanganya uma ili waje na movie ingine kutawasaidia ila naona wanajiongezea kazi sana,na wanawapa watu wao kazi kubwa kujua waongee lipi hadharani.

km kitu ipo ktk cloud CCM wanayo kazi.watazunguka sana duara ila watarudi palepale ,na CDM watazidi wa spin.
 
kwa jinsi ulivyoiweka habari umezidi wafanya magamba waumie kichwa sana...kuna uwezekano hard disk za DVR kuondolewa na kuwekwa nyingine ili kuwa huu zaidi.Km CDM kweli walitumia DVR na hawajaupload offshore hadi sasa basi hawa jamaa wataongeza bidii mara dufu,ingawa pia wakifikia km itakuw aimeshatolea hard disk na kubadili..thena watakuwa busy 24/7.Km itakuwa offsore na hard disk ingine pia CCM wanaweza danganyika tena kufanya mambo ya kijinga zaidi kwa kujiamini kuwa wana kila kitu.N ahivyo wakaanza pika data au kufanya editinga.
Ukiona hadi Dr, amei like hiyo comment ujue tayari DVR ishavuliwa HDD, sasa kazi kwao kuzisaka hizo HDD
 
Ben kuwa na imani kamanda, "tafuta post zangu utaujuwa mlenguo wangu" sisi ni wale maruhani tulioko front line tunajulikana kama "unsung heroes". peoplezzzzzzzzzzzz

Actually nilipitia historia yako hapa JF hadi ile post yako ya TCU na ile ya kutafuta Driver wa NOAH.Ni nzuri hazitii mashaka sana.Manaa nakumbuka ulijiunga Tarehe 30 mwezi uliopita na ID yako nyingine haijilikani maana post yako ya Kwanza tu baada ya kujiunga ilionyesha wewe ni mzoefu wa hapa si wa kusoma tu bali pia wa kuchangia.Otherwise,keep the fight on soldier.....!
 
afiki inaonekana huijui DVR, inachukua kila kitu kilichokuwa kinaendelea sio hiyo jinsi nyeusi tuu, na kama ni ile inayotmoa techn ya jicho la samaki inachuka angle zote! yaani ni hatari tupu!
Im actually selling those things ..... 80,000/- na 150,000/-kwa wireless, unatumia SDHC CARD.

Na huwa na-DVR vipindi ninavyovipenda, it's a very common thang huku nilipo na watu wengi tu bongo wanazo, nimeshawauzia karibu watu 30 just this year. Nikuletee?
 
Kila mara mkutano au maandamano ya CDM yalipofanyikana kukatokea vurugu hadi kusababisha vifo, Chadema ilikuwa ina respond harakasana kwa kuitisha vikao vya ndani na hatimaye kutoa matamko, makada wake kuongeakwenye vyombo mbalimbali vya habari wakilaani mauaji yale na kumtaka Raisiaunde tume huru ya majaji ya uchunguzi.

Lakini safari hii ni tofauti, Viongozi wa Chademahawajahamaki kama walivyokuwa wanahamaki kwenye matukio ya hapo nyuma. Makadawake wengi wametulia kimya wala hamna anayebwabwaja hovyo kwenye vyombo vyahabari. Matokeo yake kuonekana maafisa usalama wa taifa wanaowafanyia surveillancemakada wa chadema wanapata kazi kubwa kwa sababu hakuna uwezekano wa kujua kwa uhakikanani anaweza kuwa na hizo DVR.

Kinachotafutwa ni ile DVR ambayo inasemekana kwataarifa zilizopo kwenye usalama saa hizi ni kuwa wameconfirm kuwa kwelikulikuwa na DVR machine mbili zilizokuwa zinarekodi kwa pamoja, moja ikiwa kamaback up. Na kwamba mpaka saa hizi Chadema bado hawajafanikiwa kuhamisha pichakutoka kwenye hizo DVR kwenda kwenye computer halafu wahamishie kwenye CD. Kwahiyo hizo DVR zikipatikana ndio utakuwa mwisho wa hizi tuhuma za Chademakuihusisha na polisi.

Mara baada ya tukio lile kutokea. Kuna maafisa usalamawalimfanyia 24hrs surveillance mbowe pamoja na lema wakiwafuatilia kilawanalolifanya na kila wanapoingia lakini kwa data zilizopo mpaka saa hizi imethibitishwakuwa hiyo imeshindwa kujulikana kwa asilimia 100 kuwa hizo DVR zitakuwa maeneogani. Ieleweke kwanza Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema bw. Lwakatare hakuwaanajihusisha na shuguli za usalama za Chadema kwa muda mrefu kwa kuwa alikuwagerezani. Mpaka saa hizi haijulikani nani anae-handle mambo ya usalama chademakama in-charge, ndio maana Wanausalama waliamua kumfanyia surveillance Mbowe nakila watu anaokutana nao. Hata ile hatua ya Chagonja kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa wanamtafuta mbowe na lema ilikuwa ni kuwahadaa akina mbowe na lema wajue kuwa polisi hawajui walipo ili wafanye vikao vyao kwa uhuru ili maafisa usalama wapate information. Lakini mbowe alikuwa mjanja alijuwa tokea kwenye mkutano kuwa anafuatiliwa na watu wa usalama.

Hii imewafanya maafisa usalama na polisi washindweku-pin point kwa uhakika ni wapi wa-ambush ili kupata hata detail za ninichadema wanajua. Ripoti nilizo nazo mpaka sasa ni kwamba hata Lema alipotakakuongea kwenye kipindi cha VOA kilichorushwa jana kilichomuhusisha mwigulu,alionywa asiongee ili asije akatoa clue ya aina yoyote. Hii tactic ya Chademakukaa kimya bila matamko yoyote wala makadre wao waliozoeleka kuandika mambokwenye mitandao kukaa kimya ndio iliyowafanya wazidi kuchanganyikiwa.Inasemekana hata mapandikizi ya CCM yaliyoko Chadema hayajui nini kinaendelea,kwa hiyo nao wameshindwa kutoa mchango wowote kwenye hili jambo. Wanachofanya haomamluki ni kuwaeleza nani yupo wapi na nani lakini hawajui nini wanaongea.Inasemekana, kwa structure ya utendaji ya chadema kuna siri ambazo ni za watuwa tatu(3) walioko kwenye chama na wawili(2) nje ya chama ambao hawajulikanikama ni wanachama wa chadema.

Kinachotokea saa hizi ni Frustration kwa upande wapolisi na usalama maana taarifa nilizo nazo kutoka kwa baadhi ya wanausalama nikwamba Mkuu wa nchi na top officials wa CCM wameagiza kuwa ni lazima huo mkandaupatikane. Nimeambiawa wanaulizia update kila baada ya saa moja kujua polisi nausalama wamefikia wapi. Hii imesababisha kuongeza nguvu kwa kutumia wanausalamawalioka nje ya Arusha kwenye mikoa mingine kujaribu kuwapeleleza makada wachadema walioko kwenye mikoa mingine.

Taarifa zilizopo ni kuwa kuna maafisa usalama wametoacopy za passenger manifesto za mabasi yote yaliyosafiri kutoka arusha sikumbili baada ya bomu, na sasa wana-sort majina ambayo wanahisi ni abiriawaliokuwa wanachama wa chadema ili wakachunguzwe kwenye mikoa waliyoenda kamawanaweza wakawa na hizo security equipment za chadema. Wamewadanganya maagentiwa mabasi pale stend ya Arusha kuwa wanawatafuta abiria wa kisomali kuwa ndiowaliolipua bomu.

****kwa mtu ambaye hajui DVR ni nini. Hii ni mashineya kurekodi matukio ni real time yanayotokea katika kila kamera inayorekodiiliyounganishwa. Ipo kama deki ya kawaida ya video tunazoangalia uswahilini.Kinachofanyika ni kuwa Hizi DVR machine zinakuwa na hard Disc yenye uwezotofauti tofauti kuanzia 500MB, 1GB, 2GB n.k. Ukubwa wa bytes ndio unaodetermine muda mrefu wa kurekodi kablaya kufuta. Vile vile zipo zenye uwezo wa kuunganishwa na kamera 4, 8, 16 n.k.Hizi DVR ndio zinazotafutwa saa hizi na wanausalama na sio camera, kamera kaziyake ilikwisha.

Nitaendelea kuwapa update kila ninavyoipata kutoka kwaclass met wangu aliopo huko jikoni.

labda nikueleweshe jambo moja
kuitoa picha iliyonaswa na DVR ni jambo la dakika chache tu,wala haitaji siku wala masaa,unaweza toa picha zilizonaswa na DVR kwa memory card/USB ama ukaziangalia moja kwa moja ktk kipakatio chako.
ni kweli kazi ya CCTV CAMERA ilisha kwisha na ndio maana watu wa CDM wanasema kwa uhakika kwani mpaka sasa wamesha ona picha hizo na kuelewa nani mhusika maana ni muda mfupi tu unahitaji kutoa kila kitu kilichopo ktk DVR.
ukiwa na HD ya 80GB hiyo unaweza hifadhi kumbukumbu kwa maswaa 24 na ukiwa na zaidi ya 80GB ni zaidi ya masaa 24.
 
Jamaa anajtahd kuandika habari ndefu akjua posho itaongezeka. Aha!
 
Back
Top Bottom