Hao tena, kwenye rambi rambi ! Kwani kwenye mfuko wa maafa wameishatoa ngapi?Nasikiliza U FM hapa wanasema uongozi wa mkoa wa Mwanza utafungua akaunti maalumu kwa ajili ya kukusanya rami rambi za misiba iliyotokea kutokana na ajli ya kupinduka kwa kivuko chaMV Nyerere katika ziwa victoria. Ni jambo jema tujiandae kutoa rambi rambi zetu kupitia akaumti hiyo
mmm!Shime tuchangie tusahau ya Bukoba maana kule kuna watu walizibomoa nyumba zao ili walipwe fidia ndio maana serikali ikaelekeza pesa kwingine
Mimi nasikia watawakata watumishi mishahara ya mwezi huu kugharamia shughuli za hilo janga
Toa ujinga wako hapa sitoiToeni rambi rambi tununue kivuko kingine
tena usikosee hilo hakikisha liwe la keleb halafu la puaNione mtu amekuja kuomba mchango kwangu, nitamzibua kibao hicho mpaka atajuta