Uongo wa Wanasiasa

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya sana porini,na baada ya ajali hiyo alitokea mkulima mmoja na alipoona hivyo alichimba shimo kubwa na kuwazika wote kwa pamoja.
Baadaye polisi walikuja eneo la tukio na kumkuta huyo mkulima na kuanza kumhoji kuhusiana na ajali hiyo pamoja na maiti.[FONT=Lucida
 Console]
na mahojiano yalikuwa hivi:-

Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?[FONT=Lucida
 Console]
[/FONT]
Mkulima :- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa..
Polisi :- Zipo wapi maiti?
Mkulima :- Nimezizika
Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa?
Mkulima :- Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo!!!
14.gif
mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote....
02.gif
[FONT=Lucida

 Console][/FONT]

[/FONT]​
 
mmhhhh...........kaka hapo patamu kweli siasa ni mchezo mchafu na wa uongo...
 
Too bad ninety percent of the politicians give the other ten percent a bad reputation. Henry Kissinger Politicians are the same all over. They promise to build a bridge where there is no river. Nikita Khrushchev
 
Back
Top Bottom