Uongo mwisho wake ni kukatwa tu, huyu sasa anaisoma namba

Lowassa kafanya vizuri na wala historia haitamhukumu . Pamoja na kuchakachuliwa bado kapata 40 percent !!. Lakini pia kushindwa ni sehemu ya USHINDANI

Mr Chin mwache mzee wetu apumzike . Kama unadhani ni rahisi nawe uje ugombee ----- wewe

Fisadi Lowassa ataisoma namba.
 
Iko wazi kura zilichakachuliwa sema kwa kuwa unaowaita nyumbu wanajitambua wameamua kumuunga mkono rais, angalau kwa kuanzia ameonesha yuko serious,na kwa trend hii mmeshaanza kuisoma namba wenyewe manina, nje hamuend tena dili feki mwisho lumumba,lowassa ndo alikuwa anawafaa manake ukiacha dili zake ndefu hana tyme na mtu,sasa huyu mkuu yuko kiukawa zaidi.
 
Mwache mzee wetu apumzike. Hata hii kasi ya Magu ilichochewa na huyo mzee

Asiyekubali hili ni mpuuzi. Amefanya mageuzi makubwa katika siasa na hasa uchaguzi huu, hamasa ilikuwa kubwa. Watu walijiandikisha kwa wingi na WAKAPIGA KURA. Miaka ya nyuma walijiandikisha ili kupata kitambulisho tu wakalala zao. nyumbani.
 
Sawa sisi manyumbu...lakini kwa ujanja wenu mumesababisha Magufuli kuanza kwa taabu saana na sisi manyumbu tutamuunga mkono na kumfichulia yote.Mumetusababishia ugumu wa maisha kwa MADELA ya shs 7000 tu.angalia wanavyopiga mabillion wenye nchi.
 
Unaweweseka
 
Back
Top Bottom