Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Mwendawazimu flani wa Milembe alipanda juu mti wa
mwembe asubuhi sana, akakaa mtini hadi kitu saa
kumi. Njaa ikamkaba mpaka penyewe...mara...chali
akadondoka chini kutoka kwenye mti. Daktari akaja
akamwuliza: Nini kinaendelea, kulikoni?
Mwendawazimu akamjibu: wala usijali sana hata mi nashangaa au ndo kusema"NIMEIVA!"?
Mkuu umenipa bonge la refreshment! hahaaa!!!